Malinzi na kamati nzima ya TFF naomba usiku huu mtuage rasmi

Soka la awali kwa vijana litakuwa suluhisho la tatizo hili sugu.
Kuna program moja naioa pale Boko Beach Veteran na Laureate Iternational,
hebu wadau wa mpira w miguu pitieni,.Na vyombo vingine kaangaieni,
 
Soka la awali kwa vijana litakuwa suluhisho la tatizo hili sugu.
Kuna program moja naioa pale Boko Beach Veteran na Laureate Iternational,
hebu wadau wa mpira w miguu pitieni,.Na vyombo vingine kaangaieni,

Uko sahihi mkuu, tuimpose professionalism ama sivyo haitatokea tukashinda katika hatua yoyote ile ya mashindano
 
Umesahau na + ya kanuni ya mchezaji mwenye kadi 3 za njano kuchagua mechi ya kukosa.
 
Kinachoiua Taifa stars na TFF kwa ujumla ni kitendo cha Malinzi kutimua viongozi wote na kuweka ndugu zake wahaya,hii inazidi kuharibu kabisaa kwa sasa hakuna TFF,rushwa nje nje
 
Habari nilizozipata toka chanzo cha karibu na rais huyo wa TFF, amesema kuwa Malinzi amechoshwa na tuhuma na kashfa lukuki anazotupiwa yeye kutokana na kumkumbatia kocha aliyetimuliwa nooij, pia madai ya kuendekeza ukabila na visasi. stay tuned.
 
Asante kwa tAarifa, jana uwanjani karibu amwage machozi
 
Inabidi aachie tu ngazi, hakuna namna nyingine.
 
Hii kama ni kweli ni habari njema sana kwa soka la Tanzania AKA Kichwa cha mwendawazimu.
 
Maamuzi magumu eeh? I doubt with such argument ..Viongozi wa kiafrika wenye roho za kutu kujiuzulu huwa ni msamiati kwao
 
aondoke watanzania hatumtaki kabisa ameimaliza soka la tanzania,aende mkoani kwao si ang'ang'anie uzaramoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…