Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kuwa viongozi wote aliowaweka ni wahaya wenzake?
Soka la awali kwa vijana litakuwa suluhisho la tatizo hili sugu.
Kuna program moja naioa pale Boko Beach Veteran na Laureate Iternational,
hebu wadau wa mpira w miguu pitieni,.Na vyombo vingine kaangaieni,
Umesahau na + ya kanuni ya mchezaji mwenye kadi 3 za njano kuchagua mechi ya kukosa.Sinema Ya Kufeli Kwa Huyu Malinzi Imeanzia Katika Formula Hii Ya Kimahesabu....Malinzi + Kumteua Kocha ( Mbovu ) + Kuteua Kamati Zake Mbovu + Ukabila + Kulipa Fadhila + Visasi ( Kwa Watendaji Wazuri Aliowakuta Kutoka Kwa Tenga ) + Laana Ya Damas Ndumbaro + Ufisadi + Kumpigia Kura Failure Mwingine Rais Wa FIFA Sepp Blater + 10% = UOZO Wa Timu Zetu Za Taifa Za Soka Nchini Tanzania.
Umesahau na + ya kanuni ya mchezaji mwenye kadi 3 za njano kuchagua mechi ya kukosa.
Arudishe na chochote alichochota pale TFF