Malinzi na kamati nzima ya TFF naomba usiku huu mtuage rasmi

Hakustahili kuwa raisi wa TFF nahili ndio tatizo letu Watanganyika wakati wa kuchagua viongozi tunachagua kwa ushabiki baadae tunalaumu wale tuliowachagua wenye kuona mbali walimkata mliobaki mkapiga kelele na mkamchagua na bado tuna uchaguzi mkuu na haya yatajirudia tusubiri kelele
 
Umesahau na + ya kanuni ya mchezaji mwenye kadi 3 za njano kuchagua mechi ya kukosa.
Malinzi alikua anashinda JF humu MMU bepari la kihaya ....tukampa TFF dah ...tunajuta Asprin
 
Last edited by a moderator:
ameamua kuachia ngazi ili apate muda wa kujiandaa na kutangaza nia ya UBENGE
habari nilizozipata toka chanzo cha karibu na rais huyo wa tff, amesema kuwa malinzi amechoshwa na tuhuma na kashfa lukuki anazotupiwa yeye kutokana na kumkumbatia kocha aliyetimuliwa nooij, pia madai ya kuendekeza ukabila na visasi. stay tuned.
 
Hii kama ni kweli ni habari njema sana kwa soka la Tanzania AKA Kichwa cha mwendawazimu.

mkuu BAK sioni kitufe cha LIKE ujue!! ila chukua tano
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Kipo Mkuu hebu angalia vizuri 🙂🙂, sijui jamaa awamu yake ni miaka mingapi, lakini imeshatosha hatuhitaji kuendelea kusononeka kiasi hiki.

mkuu BAK sioni kitufe cha LIKE ujue!! ila chukua tano
 
.. BAK Hahaha hahahaha yaani hawa wash... wamefanya mpaka mashabiki wamekata tamaa na timu hii
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Maamuzi yao kila kukicha yanasikitisha mno na yanazidi kuliangamiza soka la Tanzania. Watanzania pamoja na upole wetu lakini jana karibu wampe kipondo yule kocha feki, ashukuru sana FFU walimuokoa.

.. BAK Hahaha hahahaha yaani hawa wash... wamefanya mpaka mashabiki wamekata tamaa na timu hii
 
Maamuzi yao kila kukicha yanasikitisha mno na yanazidi kuliangamiza soka la Tanzania. Watanzania pamoja na upole wetu lakini jana karibu wampe kipondo yule kocha feki, ashukuru sana FFU walimuokoa.
Hahaha ndomana tff walipeleka Mechi hiyo zenji, bara wachezaji wangekula kichapo toka kwa fans.
kuanzia uongozi hadi wachezaji bure kabisa
 
Aah, haiwezekani, wabongo waroho sana wa madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…