Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kama ni kweli ni habari njema sana kwa soka la Tanzania AKA Kichwa cha mwendawazimu.
habari nilizozipata toka chanzo cha karibu na rais huyo wa tff, amesema kuwa malinzi amechoshwa na tuhuma na kashfa lukuki anazotupiwa yeye kutokana na kumkumbatia kocha aliyetimuliwa nooij, pia madai ya kuendekeza ukabila na visasi. stay tuned.
Malinzi alikua anashinda JF humu MMU bepari la kihaya ....tukampa TFF dah ...tunajuta Asprin
ameamua kuachia ngazi ili apate muda wa kujiandaa na kutangaza nia ya UBENGE
.. BAK Hahaha hahahaha yaani hawa wash... wamefanya mpaka mashabiki wamekata tamaa na timu hii
Hahaha ndomana tff walipeleka Mechi hiyo zenji, bara wachezaji wangekula kichapo toka kwa fans.Maamuzi yao kila kukicha yanasikitisha mno na yanazidi kuliangamiza soka la Tanzania. Watanzania pamoja na upole wetu lakini jana karibu wampe kipondo yule kocha feki, ashukuru sana FFU walimuokoa.
Aah, haiwezekani, wabongo waroho sana wa madaraka.