Malinzi na kamati nzima ya TFF naomba usiku huu mtuage rasmi

Huyo jamaa malinzi hata danadana hajawahi kupiga!
Tff akae mtu wa mpira
 
Inabidi aachie tu ngazi, hakuna namna nyingine.

Hata uje wewe na kocha utakayemchagua wewe, soka la TZ litabaki hivyo hivyo. Teacher can teach, but students refuse to learn!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Umesema kweli Mkuu,tena huwa tunaushabiki wakijinga sana.
 
Aah, haiwezekani, wabongo waroho sana wa madaraka.
Hata mimi nakubaliana na wewe, hili haliwezekani kwa wabongo labda wangekuwa wenzetu wale weupe ningekubali.
Yaani itokee tu mtu mweusi akaachia madaraka kirahisi rahisi tu!! Nadhani haiwezekani.
 
Hata uje wewe na kocha utakayemchagua wewe, soka la TZ litabaki hivyo hivyo. Teacher can teach, but students refuse to learn!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tenga + Maximo =Avarage

Malinzi + Nooij =Fail
 
Bora aondoke tu akuna cha maana alichokifanya kama kubadili jezi ata mtoto anaeeza kufanya maamuzi hayo aende ametufanya tunazalauliwa sana Africa mashariki Mungu ampewepesi Wa kuachia madaraka maana kuachia uongozi Kwa Tanzania ni shida
 
Hawezi kufanya hivyo labda sio Tanzania.
 
Akaongoze chama cha mpira wa vikapu wilaya ya Misenyi kabla ya kugombe nafasi asiyoimudu.
 
haijawai tokea na haitatokea kabisa labda. na watanzania tutamkumbuka sana maximo .
 
Kajaza wahaya tu tiefuefu hamna la maana alilofanya.
 
Malinzi mwingine?Muhaya aachie ngazi?status ataipata wapi?
 
Hii kama ni kweli ni habari njema sana kwa soka la Tanzania AKA Kichwa cha mwendawazimu.

Kwa jinsi wanavyopiga noti pale hakuna mtu wa kuondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…