Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi aachie tu ngazi, hakuna namna nyingine.
Hakustahili kuwa raisi wa TFF nahili ndio tatizo letu Watanganyika wakati wa kuchagua viongozi tunachagua kwa ushabiki baadae tunalaumu wale tuliowachagua wenye kuona mbali walimkata mliobaki mkapiga kelele na mkamchagua na bado tuna uchaguzi mkuu na haya yatajirudia tusubiri kelele
Hata mimi nakubaliana na wewe, hili haliwezekani kwa wabongo labda wangekuwa wenzetu wale weupe ningekubali.Aah, haiwezekani, wabongo waroho sana wa madaraka.
Huyo jamaa malinzi hata danadana hajawahi kupiga!
Tff akae mtu wa mpira
Hata uje wewe na kocha utakayemchagua wewe, soka la TZ litabaki hivyo hivyo. Teacher can teach, but students refuse to learn!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wakati wa tenga soka lilifika wapi pa maana?
Huyo jamaa malinzi hata danadana hajawahi kupiga!
Tff akae mtu wa mpira
Kamuulize jamaa yako Mainzi atakuambia!
Nikujibu nini cha maana ulichouliza wewe?!Hujajibu swali!
Hii kama ni kweli ni habari njema sana kwa soka la Tanzania AKA Kichwa cha mwendawazimu.