Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Maamuzi magumu eeh? I doubt with such argument ..Viongozi wa kiafrika wenye roho za kutu kujiuzulu huwa ni msamiati kwao
Hata mimi siamini hadi nione yashatokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maamuzi magumu eeh? I doubt with such argument ..Viongozi wa kiafrika wenye roho za kutu kujiuzulu huwa ni msamiati kwao
ameamua kuachia ngazi ili apate muda wa kujiandaa na kutangaza nia ya UBENGE
Kwa jinsi wanavyopiga noti pale hakuna mtu wa kuondoka
aondoke watanzania hatumtaki kabisa ameimaliza soka la tanzania,aende mkoani kwao si ang'ang'anie uzaramoni
Mkuu ubenge ndio nini?
Basi Waziri husika afanye yake kwa kuwafukuza kazi wahusika wote bila kuchelewa.
Acha ukabila wewe,Mtanzania anayo haki ya kuishi popote hapa nchini!
habari nilizozipata toka chanzo cha karibu na rais huyo wa tff, amesema kuwa malinzi amechoshwa na tuhuma na kashfa lukuki anazotupiwa yeye kutokana na kumkumbatia kocha aliyetimuliwa nooij, pia madai ya kuendekeza ukabila na visasi. stay tuned.
Hakustahili kuwa raisi wa TFF nahili ndio tatizo letu Watanganyika wakati wa kuchagua viongozi tunachagua kwa ushabiki baadae tunalaumu wale tuliowachagua wenye kuona mbali walimkata mliobaki mkapiga kelele na mkamchagua na bado tuna uchaguzi mkuu na haya yatajirudia tusubiri kelele
Acha ukabila wewe,Mtanzania anayo haki ya kuishi popote hapa nchini!
Ubaguzi bado upo kwenye mawazo ya watanzania kweli?
wahaya ni wapuuzi tu
Mkuu jifunze kupita njia kuu (ie kuwa kwenye hoja) Michepuko wakati mwingine noma! Kushindwa kwa malinzi kuongoza vizuri TFF hakuna uhusiano na kabila lake, full stop.
wahaya ni wapuuzi tu