EUfundedtroll
Member
- Oct 30, 2014
- 14
- 13
Hivi kwa mfano nimenunua shares za kampuni kama Apple au Microsoft au GE, Leo jumatatu, na nimespend dola 10,000
Kisha baada ya mwezi thamani zimepanda sana na value yake ni dola 100,000
Je naweza ku cash out au haya makampuni yanalipa shares kila baada ya miezi 6 etc
Je kwa Tanzania utaratibu ukoje?
Yes unaweza ku cash out kutegemeana na nguvu ya demand na supply sokoni. Net cash inakuwa baada ya ku deduct commission fees. Kwa tanzania utaratibu ni huo huo.
Mkuu ni google haya maneno " How to open international brokerage account" kuna jamaa wameeleza kwa kirefu sana jinsi ya kununua shares nje ya nchi.
Kwa kifupi lazima uanze ku deal na brokers ambao watakupa forms zitakazokuwezesha kufungua CDS account. Baada ya hapo itatakiwa ufanye transfer ya pesa kwa bank account ya huyu broker ambayo itatumika kununulia shares za kampuni yeyote utakayochagua. Kuwa makini na commission fees kwani zinatofautiana kwa kila broker.