Malipo baada ya kununua Shares

Malipo baada ya kununua Shares

EUfundedtroll

Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
14
Reaction score
13
Hivi kwa mfano nimenunua shares za kampuni kama Apple au Microsoft au GE, Leo jumatatu, na nimespend dola 10,000

Kisha baada ya mwezi thamani zimepanda sana na value yake ni dola 100,000

Je naweza ku cash out au haya makampuni yanalipa shares kila baada ya miezi 6 etc

Je kwa Tanzania utaratibu ukoje?
 
Yes unaweza ku cash out kutegemeana na nguvu ya demand na supply sokoni. Net cash inakuwa baada ya ku deduct commission fees. Kwa tanzania utaratibu ni huo huo.
 
investa.tz , unaweza kuwa unafahamu ni jinsi gani naweza nunua share nje ya Tanzania hasa nchi za ulaya na marekani. Kama unafahamu naomba unifahamishe please.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ni google haya maneno " How to open international brokerage account" kuna jamaa wameeleza kwa kirefu sana jinsi ya kununua shares nje ya nchi.

Kwa kifupi lazima uanze ku deal na brokers ambao watakupa forms zitakazokuwezesha kufungua CDS account. Baada ya hapo itatakiwa ufanye transfer ya pesa kwa bank account ya huyu broker ambayo itatumika kununulia shares za kampuni yeyote utakayochagua. Kuwa makini na commission fees kwani zinatofautiana kwa kila broker.
 
Huyo broker utamuamini vipi?
 
Back
Top Bottom