Malipo kwa wanawake ni ndoto!

We msimbe acha kupotosha mwanamke akulishe harafu akae kimya
 
We msimbe acha kupotosha mwanamke akulishe harafu akae kimya
Na kwanini akae kimya, hata asipokaa kimya bado ni haki yake sababu kitu anachofanya siyo jukumu lake, wewe ukiambiwa uwe unafanya kazi za ndani na kulea watoto kila siku ilihali mkeo yupo utakaa kimya tu
 
Huyu atakua baba yako ,mjomba wako na kaka zako plus mabinamu zako
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mwanamke akikulisha jamii nzima itajua ndio maana unaona unajua. Sitashika wala kugusa pesa ya mwanamke na tangu nizaliwe ni mama yangu tu tena kwamsaada wa baba yangu ila nimesaidia wadada wengi sana. Ya mwanaume we mwachie mwanaume tu[emoji23][emoji23][emoji23], nguvu ya ukimya na usiri mnaiweza kwenye kubambikizia mimba ila pesa ya mwanamke[emoji23][emoji23][emoji23], thubutu.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]umenichekesha sio poa jmn
 
Nimecheka balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…