Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Tena huyo ndo unapaswa umlipe pakubwa maana utamfanyisha kazi kama Pundana ikitokea nimeoa mwanamke hana kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena huyo ndo unapaswa umlipe pakubwa maana utamfanyisha kazi kama Pundana ikitokea nimeoa mwanamke hana kazi
Hapa sheria itabidi iniamini mimi mteja and not otherwiseUtapelekaje ushahidi kwenye vyombo vya kisheria kuwa hukupewa huduma bora endapo hilo litajitokeza?
Yeah au kifungo pia cha miezi kadhaa au kulipa fidia au vyote viwili kwa pamojaAkinuna tunafyeka mshahara
We msimbe acha kupotosha mwanamke akulishe harafu akae kimyaNimekuja kugundua sasa hivi familia nyingi wanaoleta mahitaji na kuhudumia watoto ni wanawake sema tu wengi hawasemi wanawafichia aibu waume zao, na wanaume wamebaki kujitetea kwa kutembea mule mule kwenye ile mentality ya watu wengi kwamba mwanaume ndiye mtafutaji na ndiye anayehudumia familia ilihali kwenye familia nyingi huo si uhalisia, lakini lazima mtambue kwamba kama mwanamke naye anatafuta pesa basi hana wajibu wa kufanya kazi za nyumbani hizo ni kazi za mama wa nyumbani tu anayehudumiwa na mumewe
Na kwanini akae kimya, hata asipokaa kimya bado ni haki yake sababu kitu anachofanya siyo jukumu lake, wewe ukiambiwa uwe unafanya kazi za ndani na kulea watoto kila siku ilihali mkeo yupo utakaa kimya tuWe msimbe acha kupotosha mwanamke akulishe harafu akae kimya
Huyu atakua baba yako ,mjomba wako na kaka zako plus mabinamu zakoNimekuja kugundua sasa hivi familia nyingi wanaoleta mahitaji na kuhudumia watoto ni wanawake sema tu wengi hawasemi wanawafichia aibu waume zao, na wanaume wamebaki kujitetea kwa kutembea mule mule kwenye ile mentality ya watu wengi kwamba mwanaume ndiye mtafutaji na ndiye anayehudumia familia ilihali kwenye familia nyingi huo si uhalisia, lakini lazima mtambue kwamba kama mwanamke naye anatafuta pesa basi hana wajibu wa kufanya kazi za nyumbani hizo ni kazi za mama wa nyumbani tu anayehudumiwa na mumewe
[emoji23][emoji23][emoji23] mwanamke akikulisha jamii nzima itajua ndio maana unaona unajua. Sitashika wala kugusa pesa ya mwanamke na tangu nizaliwe ni mama yangu tu tena kwamsaada wa baba yangu ila nimesaidia wadada wengi sana. Ya mwanaume we mwachie mwanaume tu[emoji23][emoji23][emoji23], nguvu ya ukimya na usiri mnaiweza kwenye kubambikizia mimba ila pesa ya mwanamke[emoji23][emoji23][emoji23], thubutu.Nimekuja kugundua sasa hivi familia nyingi wanaoleta mahitaji na kuhudumia watoto ni wanawake sema tu wengi hawasemi wanawafichia aibu waume zao, na wanaume wamebaki kujitetea kwa kutembea mule mule kwenye ile mentality ya watu wengi kwamba mwanaume ndiye mtafutaji na ndiye anayehudumia familia ilihali kwenye familia nyingi huo si uhalisia, lakini lazima mtambue kwamba kama mwanamke naye anatafuta pesa basi hana wajibu wa kufanya kazi za nyumbani hizo ni kazi za mama wa nyumbani tu anayehudumiwa na mumewe
Wanawake shida yenu ni nini? Hawa wasimbe watawapoteza. Yaani mtu ajitafute, apate kazi, anunue kiwanja, ajenge kwa gharama na kwa ugumu, akutongoze, akulipie mahari akuoe akuweke ndani akutunze na bado akulipe?
Upo zako mzigoni unapigiwa simu, njoo uwapikie watoto wako mke wako kagoma kupika hujamlipa mshahara wa Agosti.
Wee, labda tulambe transforma hamna atakelipwa, labda uolewe uwe unatokea kwenu kama shule ya day🤣🤣🤣🤣.