Vipi lakini mmeshakunywa chai kwanza?
Hata ww nakukunywaVipi lakini mmeshakunywa chai kwanza?
Kwahiyo Israel imeshashindwa so inasubiri msaada kutoka US?Kuna bomu marekan anataka akalifanyie testing pale Iran, hilo bomu lita athiri maeneo kadhaa hata ktk bara la Africa a Asia, so ukiona Moshi juu hasa maeneo ya dar, moro na Kilimanjaro ujue unatoka Iran.
Ulishawahi kujiuliza kwann US yupo close na Israel kuliko taifa lolote duniani, ukilijua Hilo ndio utajua kuwa US anachofanya Kwa Israel siyo msaada Bali ni wajibu.Kwahiyo Israel imeshashindwa so inasubiri msaada kutoka US?