Bima kwa Wote sio jambo baya....
Kukatana Mapesa kwa lazima na kupewa huduma sub-standard ndio tatio...., Waje na Sera za watu kupata ajira zenye ujira wengi wata-afford healthcare wala sio kusubiri hisani (Kwa sasa majority ni wabangaizaji wasiofahamu kesho yao ipoje)