Malipo ya kufiwa na mzazi, mke au mtoto kwa mtumishi wa umma

Malipo ya kufiwa na mzazi, mke au mtoto kwa mtumishi wa umma

Muamu3

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,708
Reaction score
4,531
Za mda huu wana jamvi

Ningeomba kujua je kuna malipo yeyote kwa mtumishi wa umma kama alifiwa na mzazi,mke au mtoto wake?
 
Ngoja waje kukupa muongozo...

Zaidi ya rambirambi ambazo siyo lazima wakutolee...
 
malipo hulipwa kwa mke,mume na watoto. unapewa pesa ya sanda,jeneza na usafiri kama ikitokea unasafirisha . kutokana na walaka wa utumishi wa umma.
Nakazia,pesa yenyewe sidhani Kama inafika hata laki tano,kwa watumishi waliochini ya tamisemi
 
Inategemea na taasisi husika, kufuatana na sera ya ndani waliojiwekea. Kwa ushauri awasiliane na idara ya rasilimali watu,ndio husimamia hayo mambo.
 
acha kuua mtoto bwana ,pia inategemeana na upo levo ipi yamshahara wako kwamfano unapokea mshara 940000 take home 700 au 600 Basi malipo yakifo Cha mwanao ni 900 na point alf ,ndo ujiulize ukishammaliza huyo jipigie hesabuzako kwa idara uliyopo

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom