Malipo ya parcel posta kutoka nje ya wizi ni hizi mtupu

Malipo ya parcel posta kutoka nje ya wizi ni hizi mtupu

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,625
Reaction score
3,014
Nimekuwa nikinunua bidhaa ndogo ndogo kupitia mtandao wa AliExpress lakini kimbembe ni malipo ya Posta. Yani inaonekana ni km wanakadiria hawapimi uzito wa parcel wala hawatoi Control number ya malipo wala risiti. Wewe ukifika unaambiwa kulipia pesa na mara nyingi ni kuanzia elf 3 hata km hiyo parcel haifiki hata gram 20.

Serikali imulike jicho kwa wadumu hizi Posta maana wanaikosesha mapato serikali. Fedha wanazokusanya hawa wahudumu huingia mifukoni mwao.

Meneja mkuu wa PostaTanzania fuatilia watendaji wako ktk posta nchi nzima.
 
Deni la taifa limeongezeka nusu ya aliloacha Magufuli kwa kipi kilichofanyika acha wale kwa urefu wa kamba kama juu wanakula acha wa chini nao wajifunze
 
Nimekuwa nikinunua bidhaa ndogo ndogo kupitia mtandao wa AliExpress lakini kimbembe ni malipo ya Posta. Yani inaonekana ni km wanakadiria hawapimi uzito wa parcel wala hawatoi Control number ya malipo wala risiti. Wewe ukifika unaambiwa kulipia pesa na mara nyingi ni kuanzia elf 3 hata km hiyo parcel haifiki hata gram 20.

Serikali imulike jicho kwa wadumu hizi Posta maana wanaikosesha mapato serikali. Fedha wanazokusanya hawa wahudumu huingia mifukoni mwao.

Meneja mkuu wa PostaTanzania fuatilia watendaji wako ktk posta nchi nzima.
3000?
 
Afu tatu unalalamika wakikaza Sheria wakija na watu wa TRA hapo utakimbia kuchukua mzigo ukipigwa izo hesabu utachomoka
Kuna VAT=18%
IMP=25%
EX=25%
CPF=0.60%
RDL(KODI YA RELI HII)=1.50
 
Afu tatu unalalamika wakikaza Sheria wakija na watu wa TRA hapo utakimbia kuchukua mzigo ukipigwa izo hesabu utachomoka
Kuna VAT=18%
IMP=25%
EX=25%
CPF=0.60%
RDL(KODI YA RELI HII)=1.50
Kiongozi kumbe ambao hatujalala tunasubiri mechi tupo wengi ha ha ha
 
Wala sijasema ni naili, nimeuliza tu mnataka mlipe shilingi ngapi jibu tu. Unataka ulipe shilingi mia saba?
Labda km hukunielewa. Nilichosema mimi ni kutaka kujua gharama halisi. Na ili ujue gharama halisi sharti parcel ipimwe ukiona na uwambiwe gharama ya uzito na mwisho upewe control number. Maan kwa sasa ni km wanakadiria hata km ni unyoya wa kuku watakupiga pakubwa na pesa unalipa taslimu siyo kwa control number.

So, silalamikii makato bali utaratibu unaotumika kulipa hiyo kodi.
 
Wanatoza 3k kwa kigezo kipi,,,,? Uzito au thamani percel,,,,?
Hiyo ni service fee, kumbuka kuwa unapoagiza mzigo postage unallipa kwa China post, mzigo wako ukifika nchini posta analipwa usafiri na matunzo, gharama lazima ulipe wewe mwenye mzigo
 
Back
Top Bottom