Malipo ya parcel posta kutoka nje ya wizi ni hizi mtupu

Malipo ya parcel posta kutoka nje ya wizi ni hizi mtupu

Hiyo ni service fee, kumbuka kuwa unapoagiza mzigo postage unallipa kwa China post, mzigo wako ukifika nchini posta analipwa usafiri na matunzo, gharama lazima ulipe wewe mwenye mzigo
Service fee haitazami thamani au uzito,,,,,?
 
Hiyo posta ya wapi hawana dirisha la custom ya TRA..
Ukipitia na custom lazima utatoa machozi
 
Mkuu mzee wa customs pia alichunguza mzigo wako ? Kama hakufanya hivyo shukuru ama sivyo unaweza kujikuta Cost ya Mzigo na Freight (Usafirishaji) unalipia tena kama Nusu kama makato....

Wanaoikosesha Serikali mapato ni Serikali wenyewe kwa kuweka gharama (tozo) ambazo sio rafiki hivyo wadau wanaona bora kumalizana kimya kimya...

Tena hujakutana na vichaa waka uplift bei ya mzigo wako kwa kusema kwamba umedanganya na wao kuchukua value ya Kariakoo na kukuwekea kodi ambazo unasema bora usamehe mzigo wako...
 
Watuweke wazi tuu maana juzi hapa imenitoka 12k kama malipo ya posta wakati vitu vyote thamani yake kama 14k tuu.

ukipiga hesabu pamoja na makato ya malipo almost 30k,,,,,
Hahahaa afu Speedaf kuchukua ni bure
 
Nimekuwa nikinunua bidhaa ndogo ndogo kupitia mtandao wa AliExpress lakini kimbembe ni malipo ya Posta. Yani inaonekana ni km wanakadiria hawapimi uzito wa parcel wala hawatoi Control number ya malipo wala risiti. Wewe ukifika unaambiwa kulipia pesa na mara nyingi ni kuanzia elf 3 hata km hiyo parcel haifiki hata gram 20.

Serikali imulike jicho kwa wadumu hizi Posta maana wanaikosesha mapato serikali. Fedha wanazokusanya hawa wahudumu huingia mifukoni mwao.

Meneja mkuu wa PostaTanzania fuatilia watendaji wako ktk posta nchi nzima.
Ili uelewe inabidi isome text lkn ikiishia kwenye kichwa Cha text ni kizunguzungu.
 
Back
Top Bottom