BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,625
- 3,014
Wanatoza 3k kwa kigezo kipi,,,,? Uzito au thamani percel,,,,?Samahani bloo sijaelewa kitu, unalalamika kulipia parcel shilingi elfu 3 ambayo inatokea china? Ulitaka ulipe shilingi ngapi wewe?
3000?Nimekuwa nikinunua bidhaa ndogo ndogo kupitia mtandao wa AliExpress lakini kimbembe ni malipo ya Posta. Yani inaonekana ni km wanakadiria hawapimi uzito wa parcel wala hawatoi Control number ya malipo wala risiti. Wewe ukifika unaambiwa kulipia pesa na mara nyingi ni kuanzia elf 3 hata km hiyo parcel haifiki hata gram 20.
Serikali imulike jicho kwa wadumu hizi Posta maana wanaikosesha mapato serikali. Fedha wanazokusanya hawa wahudumu huingia mifukoni mwao.
Meneja mkuu wa PostaTanzania fuatilia watendaji wako ktk posta nchi nzima.
Kwani kutoka china ndio nini?. hiyo 3000 ndio nauli ya kutokea china?Regardless mkuu. Nimekuuliza we ulitamani ulipe shilingi 300 kwa parcel toka china?
Hii pesa inayolipwa Posta siyo nauli ya kusafirisha parcel kutoka China bali ni kodi.3000?
Hapo ndo kuna utataWanatoza 3k kwa kigezo kipi,,,,? Uzito au thamani percel,,,,?
Hii pesa inayolipwa Posta siyo nauli ya kusafirisha parcel kutoka China bali ni kodi.Kwani kutoka china ndio nini?. hiyo 3000 ndio nauli ya kutokea china?
Hii pesa inayolipwa Posta siyo nauli ya kusafirisha parcel kutoka China bali ni kodi.Samahani bloo sijaelewa kitu, unalalamika kulipia parcel shilingi elfu 3 ambayo inatokea china? Ulitaka ulipe shilingi ngapi wewe?
Kiongozi kumbe ambao hatujalala tunasubiri mechi tupo wengi ha ha haAfu tatu unalalamika wakikaza Sheria wakija na watu wa TRA hapo utakimbia kuchukua mzigo ukipigwa izo hesabu utachomoka
Kuna VAT=18%
IMP=25%
EX=25%
CPF=0.60%
RDL(KODI YA RELI HII)=1.50
ilitakiwa apelekwe bandari kwanza ndo akili imkae sawaSamahani bloo sijaelewa kitu, unalalamika kulipia parcel shilingi elfu 3 ambayo inatokea china? Ulitaka ulipe shilingi ngapi wewe?
Ngojea mechi ila usije ukahisi unakomoa watu kumbe unajiharibia zaidiKiongozi kumbe ambao hatujalala tunasubiri mechi tupo wengi ha ha ha
Wala sijasema ni nauli, nimeuliza tu mnataka mlipe shilingi ngapi jibu tu. Unataka ulipe shilingi mia saba?Kwani kutoka china ndio nini?. hiyo 3000 ndio nauli ya kutokea china?
Kwani kutoka china ndio nini?. hiyo 3000 ndio
Watuweke wazi tuu maana juzi hapa imenitoka 12k kama malipo ya posta wakati vitu vyote thamani yake kama 14k tuu.Hapo ndo kuna utata
Kweli aise yani ni usumbufu sanaWatuweke wazi tuu maana juzi hapa imenitoka 12k kama malipo ya posta wakati vitu vyote thamani yake kama 14k tuu.
ukipiga hesabu pamoja na makato ya malipo almost 30k,,,,,
Labda km hukunielewa. Nilichosema mimi ni kutaka kujua gharama halisi. Na ili ujue gharama halisi sharti parcel ipimwe ukiona na uwambiwe gharama ya uzito na mwisho upewe control number. Maan kwa sasa ni km wanakadiria hata km ni unyoya wa kuku watakupiga pakubwa na pesa unalipa taslimu siyo kwa control number.Wala sijasema ni naili, nimeuliza tu mnataka mlipe shilingi ngapi jibu tu. Unataka ulipe shilingi mia saba?
Hiyo ni service fee, kumbuka kuwa unapoagiza mzigo postage unallipa kwa China post, mzigo wako ukifika nchini posta analipwa usafiri na matunzo, gharama lazima ulipe wewe mwenye mzigoWanatoza 3k kwa kigezo kipi,,,,? Uzito au thamani percel,,,,?