Malipo ya parcel posta kutoka nje ya wizi ni hizi mtupu

Hiyo ni service fee, kumbuka kuwa unapoagiza mzigo postage unallipa kwa China post, mzigo wako ukifika nchini posta analipwa usafiri na matunzo, gharama lazima ulipe wewe mwenye mzigo
Service fee haitazami thamani au uzito,,,,,?
 
Hiyo posta ya wapi hawana dirisha la custom ya TRA..
Ukipitia na custom lazima utatoa machozi
 
Hiyo posta ya wapi hawana dirisha la custom ya TRA..
Ukipitia na custom lazima utatoa machozi
Walete tuu huo ujuaji ndiyo maana shirika halifanyi vizuri kwa sababu hawatumii Akili hata percel za ndani tuu hawapati.
 
Elf tatu?? Toka china πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€,nyie ndiyo mnasababisha deni kuwa kubwa la Taifa
 
Mkuu mzee wa customs pia alichunguza mzigo wako ? Kama hakufanya hivyo shukuru ama sivyo unaweza kujikuta Cost ya Mzigo na Freight (Usafirishaji) unalipia tena kama Nusu kama makato....

Wanaoikosesha Serikali mapato ni Serikali wenyewe kwa kuweka gharama (tozo) ambazo sio rafiki hivyo wadau wanaona bora kumalizana kimya kimya...

Tena hujakutana na vichaa waka uplift bei ya mzigo wako kwa kusema kwamba umedanganya na wao kuchukua value ya Kariakoo na kukuwekea kodi ambazo unasema bora usamehe mzigo wako...
 
Watuweke wazi tuu maana juzi hapa imenitoka 12k kama malipo ya posta wakati vitu vyote thamani yake kama 14k tuu.

ukipiga hesabu pamoja na makato ya malipo almost 30k,,,,,
Hahahaa afu Speedaf kuchukua ni bure
 
Ili uelewe inabidi isome text lkn ikiishia kwenye kichwa Cha text ni kizunguzungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…