mwanachuo
Member
- Jan 15, 2013
- 40
- 38
Niliajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja na kampuni moja ya fedha . Hata hivyo nililipwa pesa ya mafunzo na nauli pekee nikitarajia kulipwa malipo ya kusafirisha mizigo na kujikimu lakini hawakufanya hivyo japo mkataba ulionesha naajiriwa kutoka Moshi kwenda Lindi, ingwa wakati wa kumaliza mkataba wangu nililipwa gharama za usafiri wangu na mizigo na pesa ya kujikimu kwa siku moja je nina haki ya kisheria kudai mapunjo yangu ingawa nilimaliza makataba wangu tarehe 25/08/2020?
msaada wataalamu wangu.
msaada wataalamu wangu.