ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Watumishi wa umma wakimumbuka huu usumbufu baada ya kustaafu,wanaamuga kupiga madili tuu ya kifisadiIfike mahali bora tujiulize kipi kinakwamisha wastaafu kulipwa pesa zao ina maana ni tatizo liko kwenye Kitengo au Idara gani?
Mnaonaje mstaafu si anatakiwa apewe chake alipwe mapema maisha yenyewe yako wapi ndugu viongozi?
Ukishakuwa mstaafu katika nchi hii ni sawa na KUANZA maisha ya kuzimu ukiwa bado hai..Ifike mahali bora tujiulize kipi kinakwamisha wastaafu kulipwa pesa zao ina maana ni tatizo liko kwenye Kitengo au Idara gani?
Mnaonaje mstaafu si anatakiwa apewe chake alipwe mapema maisha yenyewe yako wapi ndugu viongozi?