Malipo ya Wastaafu: Tatizo lipo Kitengo/Idara gani?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ifike mahali bora tujiulize kipi kinakwamisha wastaafu kulipwa pesa zao ina maana ni tatizo liko kwenye Kitengo au Idara gani?

Mnaonaje mstaafu si anatakiwa apewe chake alipwe mapema maisha yenyewe yako wapi ndugu viongozi?
 
Hili nalo halijapata tu wa.kulisemea lakini ni kubwa kuliko hata chanjo... mtizamo wangu tu...
Chanjo ni hiyari lakini mafao kwa mstaafu ni lazima.
Chanjo wanapewa kipaumbele wazee ambao wengi ni wastaafu ambao mafao Yao hawajapata.
Maelezo ni tofauti kwenye hiyo chanjo pia, kuwa pengine Ina madhara...sijui.
Wataodhurika ni wastaafu waliokwisha patiwa chanjo na ndio wanaodai mafao Yao.
Nawaza kimyakimya kuwa huenda wastaafu wengi wataacha mafao Yao nyuma (nami ni mmojawapo).
 
Ifike mahali bora tujiulize kipi kinakwamisha wastaafu kulipwa pesa zao ina maana ni tatizo liko kwenye Kitengo au Idara gani?

Mnaonaje mstaafu si anatakiwa apewe chake alipwe mapema maisha yenyewe yako wapi ndugu viongozi?
Watumishi wa umma wakimumbuka huu usumbufu baada ya kustaafu,wanaamuga kupiga madili tuu ya kifisadi
 
Ifike mahali bora tujiulize kipi kinakwamisha wastaafu kulipwa pesa zao ina maana ni tatizo liko kwenye Kitengo au Idara gani?

Mnaonaje mstaafu si anatakiwa apewe chake alipwe mapema maisha yenyewe yako wapi ndugu viongozi?
Ukishakuwa mstaafu katika nchi hii ni sawa na KUANZA maisha ya kuzimu ukiwa bado hai..
 
Back
Top Bottom