Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna haja ya ku review mitaala ya chuo Cha CCP na sifa za kuajiri hawa watu pia maana wanaliaibisha taifa mwishowe hiyo kazi itaonekana ni ya vilaza na watu wasiojielew
Hiyo ndio shetani kabisa muuwaji, bora hata wanaokupeleka Polisi kuliko alivyotaka kumuuwa Lisu.Mtanikumbuka 🐼
Waislamu humkumbuka marehemu kwa Wema wakeHiyo ndio shetani kabisa muuwaji, bora hata wanaokupeleka Polisi kuliko alivyotaka kumuuwa Lisu.
Wapi Ben Saabane? Tutamkumbuka kwa ushetani wake.
anasema tuhuma hizo zimehanishiwa Moshi eneo ambalo anatarajiwa kuwania ubunge.
Mimi siyo mwislamu, waislamu wanasema kisasi ni hakhi.Waislamu humkumbuka marehemu kwa Wema wake
Pamoja sana MkuuAkinuka kitanuka au kunukishwa serikali isifanye tena makosa ya kuonea wapinzani yataikost.
mwaka 1960 vijana waliwapiga vita wanyonyaji bila kuchagua njia ya kuwapiga vita , mwaka 2024 kijana anamtetea mnyonyaji kisa mnyonyaj akiwa mbele ya camera hatumii maneno magumuKweli kabisa, anafanya siasa za kitoto, mimi nilimdharau alipokuwa anamuita Nape "bumunda", Nape hajawahi kutoa kauli mbaya kwake, hajamdharau Malisa.
Ila nilijufunza kwamba, kuna uzi mwembamba sana unaotenganisha Malisa halisi, na Malisa ambaye anatumia akili kufikiri, muda wowote anateleza na anaenda kwenye uhalisia wake na kuanza kutoa lugha za kebehi na dharau wakati angeweza kufanya siasa za kisomi
unaitwa Dr ila akili kisoda , tupe ushahidi wa shutuma zakoHiyo ndio shetani kabisa muuwaji, bora hata wanaokupeleka Polisi kuliko alivyotaka kumuuwa Lisu.
Wapi Ben Saabane? Tutamkumbuka kwa ushetani wake.
akiwa akiminywa utajua wap ? maana media zipp mikonon mwa ccmu na watz wengi mnasubir media ila akiwa mbunge bas haitawezekana kufichaHivi hawa wanaharakati hawawezi kuendelea na harakati zao pasipo fadhila za kupewa Ubunge?
Maana kama nia ni kuendelea kutetea wengine basi ni rahisi kuendelea kufanya hivyo akiwa siyo mbunge kuliko akishaingia kwenye lile Jumba.
Malisa achana na Ubunge bakia na Uanaharakati wako, wanaokudanganya kuwa unaweza kugombea Ubunge na kushinda hao ni waongo, utapoteza rasilimali zako bure wewe bado ni kijana unayejitafuta. Umaarufu wa mitandaoni unadanganya watu.
No one tortured him, alikuwa anafanyiwa interrrogation ya kawaida kabisamwaka 1960 vijana waliwapiga vita wanyonyaji bila kuchagua njia ya kuwapiga vita , mwaka 2024 kijana anamtetea mnyonyaji kisa mnyonyaj akiwa mbele ya camera hatumii maneno magumu
TUKIITWA NY@N TUSIWE TUNALALAMA BADO VICHWA VINA UJINGA MWINGI WA KUTOJIELEWA , DOGO NI MPUUZI ILA KUNA SHERIA INARUHUSU KUMTORTURE HUYO DOGO ? UNASUBIR IFIKE ZAMU YAKO NDO UJUE HILO NI KOSA KISHERIA , BADO MTU MWEUSI HAJA EVOLVE KUWA MWANADAMU KAMILI
Ubaya wa kesi hizo ni upi, ni uhujumu uchumi au kwa sababu ni za kusingiziwa?Malisa anaweza kuozea jela, hizo kesi mbaya sana, mbaya mno, na hivi ana sura laini kama keki ya bezdei
Wanafungwa watu wengi sana, ushahidi wa teknolojia huwezi kufanya manuvaUbaya wa kesi hizo ni upi, ni uhujumu uchumi au kwa sababu ni za kusingiziwa?
Hii changamoto haipo kwa police force tu, hata serikali kimuundo na fikra za viongozi na taasisi nyingi za Uma ni udhibiti wa raia ambao ni sera iliyokuwa ya wakoloni kuwadunisha na kuwanyonya waafrika ili watawalike.Tatizo sio mitaala ya CCP, tatizo ni muundo wa service. Lazima itoke from police force to police service. Muundo wa sasa hata kwa sheria zake ni rahis sana wana siasa ku temper nao, kuwafanya wafanye lolote. Ukiangalia developed country mwanasiasa hana access ya kutemper na police, police ni independent na wanasimamiwa na department maalum
Lakin pia hatuna chombo kinachofuatilia makosa ya police, kama DCI ya kenya, although hawa wana investigate kesi kubwa kubwa, lakini wana uhuru mpaka wa kuchunguza police members haijalish ranks zao. Hiki chombo kina wa keep in check
Hili suala la police kujochunguza wenyewe halaf hawaleti majibu lina ukakasi
Kisasi ni wakati mtu akiwa mzima, marehemu hanaga kisasiMimi siyo mwislamu, waislamu wanasema kisasi ni hakhi.