Kakamatwa mahakamani ! Legacy ya Mwalimu Kambarage inatutafuna mpaka leo masikini ya Mungu.
Hatujapata ma jurist na viongozi transformative wa kufuta haya mambo ya ki fashisti na ki heathen aliyoanzisha Malimu Nyerere, bado tunaiga, monkey see monkey do. Tunakamata watu mahakamani.
Halafu kesi zenyewe sasa, eti kasema mwalimu alichapa mtoto fimbo mpaka akafa. Na kesi ya mtumishi wa Waziri Mkenda sijui kafanya nini.
Himaya inatawala watu milioni 60 inahofia na kufuatilia criticism za kijana ambae 99.9% ya Watanzania hawajawahi kumsikia! Wamempa publicity. Labda tumejaa ugali for brains. Tuanze kula fish oil.