Kweli kabisa, anafanya siasa za kitoto, mimi nilimdharau alipokuwa anamuita Nape "bumunda", Nape hajawahi kutoa kauli mbaya kwake, hajamdharau Malisa.
Ila nilijufunza kwamba, kuna uzi mwembamba sana unaotenganisha Malisa halisi, na Malisa ambaye anatumia akili kufikiri, muda wowote anateleza na anaenda kwenye uhalisia wake na kuanza kutoa lugha za kebehi na dharau wakati angeweza kufanya siasa za kisomisa
Ngoja anyee debeA
Sasa kwani uongo Nape sio bumunda?!. Malisa yuko sahihi kabisa ktk hilo!.
You know.Kivipi?
Walishindwa nini kumuita? walimuita akagoma kwenda?tutambue tu kuwa mwanasiasa sio Kinga ya wewe kutoshitakiwa au kuishi utakavyo.
Wakati tunapambana Rais, VP, PM, Spika nk wasiwe na Kinga basi pia kwa upande mwingine nasisi tuyaishi maisha yakutokuwa na akili zilezile zakuvunja sheria tukiamini nasisi ni exceptional.