Malisa akamatwa na Polisi, Namanga na kupelekwa kusikojulikana

Aiseee!

Sasa Malisa amefanya nini hata harakati hafanyi kihivyo, wala sio kiongozi, zaidi anafanya zile kampeni za kuwatafutia msaada.
Landa kama ulikuwa haufatirii post zake alikuwa anawapiga sipana Kali sana wakuu japo kuwa yeye alikuwa hatumii maneno makali kama wanaharakati wengine.
Kumuua sidhani Kwa sababu alikuwa mikononi mwao ila watambambika kesi nzito ili kumkomoa kama lisu.
 
Sijui amekamatwa na nani.
Lakini Malissa,activist wa Chadema alikuwa anarudi toka Marekani ,amepita Namanga,amekuwa detained na Uhamiaji,amepotezwa.
This is bad news kwa sababu utakumbuka Malissa ndio alikuwa anapenda kusema "Bashite is illiterate"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…