Maliza ubishi mwingine nani makali riyama na thea

Maliza ubishi mwingine nani makali riyama na thea

Iamjac16

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
214
Reaction score
53
Kumekuwa Na Ubishani Kitaa Na Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kuwa Kati Ya Wanadada Wawili RIYAMA NA THEA nani mkali wa kuigiza movies za serious kama unafatilia movies za bongo wa dada hao wanafanana hasa katika kuvuta hisia je kwa upande waka nana anae mfunika mwenzake
 
Riyama noma. Kibongobongo hakuna actress mkali kuliko riyama. Wengine wajasiriak*ma 2

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom