Iamjac16
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 214
- 53
Kumekuwa Na Ubishani Kitaa Na Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kuwa Kati Ya Wanadada Wawili RIYAMA NA THEA nani mkali wa kuigiza movies za serious kama unafatilia movies za bongo wa dada hao wanafanana hasa katika kuvuta hisia je kwa upande waka nana anae mfunika mwenzake