Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Wengi hawafahamu hilo, wanafikiri ni Muingereza, lkn ukweli ni kwamba Malkia Elisabeth ni Mjerumani na walibadilisha jina lao baada ya Vita Kuu ya Dunia na kujiita Windsor, original waliitwa Saxe—Coburg Gotha, ni foreigners England.
Sababu za kubadilisha jina la Kijerumani ni Vita ya Dunia iliyoanzishwa na Ujerumani ili kuficha Ujerumani wao, kwanza mwanzoni walisapoti nazis Adolf Hitler, pichani Queen Elisabeth na Adolf Hitler.
Malkia Elisabeth akipiga NAZI salute, Heil Hitler!