MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Hakuna la ajabu... technically hata King Charles III wa sasa unaweza kusema sio Mwingireza, maana baba yake Prince Phillip alikuwa Mgiriki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu wana kuepa undugu na wa Africa na waarabu tu, ila wao kwa wao wana oana sanaa kupunguza uandui na uhasama miongoni mwaoConspiracy theorist at your best
It is very interestingHao ni wayahudi feki wanaomiliki mali zote za Dunia KWA kampuni Mbili tu za Barrick na De beers!yaani dhahabu na almasi!
Waisrael halisi wapo utumwani hadi leo Baada ya kumkataa masihi yesu kristo na ni jamii ya watu wote ya weupe KWA weusi bwengine tunao humu africa na Tanzania KWA ujumla!inawezekana hata wewe mwandishi una nasaba za kiyahudi Hadi Sasa!
Ndio màana kuna mfalme mmoja wa Misri (Abdul nasar )alipoambiwa aitambue israel ya Sasa kama Taifa takatifu aliishia kucheka Sana kisha akawadhihaki na kusema WAYAHUDI WALIONDOKA MISRI UTUMWANI WAKIWA WEUSI IWEJE LEO WAMEKUWA WEUPE!!?ACHENI UONGO!!!
WAISRAEL HALISI NI JAMII YA WATU WEUSI WALIOWENGI NA SIO WEUPE !WALIOWEUPE NI WACHACHAE SANA;-NDIO MAANA KING SOLOMON ANASEMA "MIMI NI MWEUSI MWEUSI LAKINI NI MZURI ENYI MABINTI WA MISRI"!HATA AYUBU ANASEMA "NGOZI YANGU NI NYEUSI NAYO YANITOKA"HATA YAKOBO NGOZI YAKE INANG'AA SANA!HAKUNA NGOZI NYINGINE INAYONG'AA ZAIDI YA MTU MWEUSI KWA hiyo jamii ya waisrael au WAYAHUDI ni ya watu wengi weusi kuliko ya weupe kibiblia!!
Hata wamisri walisema "waebrania wanafanana na Wana wa hamu,Hamu alikuwa na NGOZI iliyoungua Yaani nyeusi na uzao wake ulikuwa MWEUSI Hivyo Hivyo!!
Taifa Hilo tunalojua Kama waisrael ni feki ni jamii ya wajerumani,waturuki,na wazungu kabisa KWA nasaba!!
Inawezekana waethiopia au wakushi wakawa ndio mfano halisi wa Taifa israel KWA Sasa kuliko Taifa jingine lolote!!
Kwahiyo Obama ni mkenya sio marekani?acha mbwembwe,kinachothibitisha uraia huko UK,ni katiba yao sio maoni yako au asili ya wazazi wa mtu!
Miguna Miguna kutoka Kenya,ana uraia pia wa Canada!,siku akiwa kiongozi Canada,utasema Canada inatawaliwa na wageni?wazungu wote wa US,Austaria,new Zealand,asili yao ni UK,British sasa utasema hizo nchi zinatawaliwa na wageni?
Hakuna la ajabu... technically hata King Charles III wa sasa unaweza kusema sio Mwingireza, maana baba yake Prince Phillip alikuwa Mgiriki
Kuna theory inasema Malkia Elizabeth ana unasaba na uarabu tena moja kwa moja kutoka nasaba ya mtume Muhammad..ingawa haijathibitishwa rasmi hii ishu ila hii ndio Sequence ya generation kutoka kwa Muhammad mpaka kufiki kwa Malkia elizaNani ni mwarabu ?....au mama yake Elizabeth ?
Royal family ina historia iliyoshiba. Kuna watu thesis zao ni historia hii na matukio yaliyotokea na conspiracies. Kuna mambo mengi sana ya kuandika na hayawezi tosha hapaMkuu natamani ungeandika zaidi,kuna kitu nimejifunza
Kumbe unaongelea kitu ambacho hakipo kabisa,nikadhani kuna mtu yupo hai ndani ya Ufalme mwenye damu ya kiarabu kama walivyo watoto wa Prince Harry wenye damu ya kiafricaDamu ya kiarabu waliiwahi kabla haijaingia kwenye ufalme maana princess Diana alikuwa na uhusiano na mwanaume wa kiarabu mpk wanakufa inamaana jamaa wangezaa tu mwarabu angekuwa mdogo wa prince Harry
Hizi ni moja kati ya conspiracy theories nyingi tu kuhusu The Royal FamilyKuna theory inasema Malkia Elizabeth ana unasaba na uarabu tena moja kwa moja kutoka nasaba ya mtume Muhammad..ingawa haijathibitishwa rasmi hii ishu ila hii ndio Sequence ya generation kutoka kwa Muhammad mpaka kufiki kwa Malkia elizaView attachment 2362587
Mkuu sijazungumzia uislamu wala ukristo nimezungumza ninachokijua kupitia maandishi niliyowahi kusoma hapo kabla!!Porojo za kiislamu bila chembe ya ushahidi. Ila ujue dini yako ilianzishwa na vatican na wao ndio waliandika original manuscripts na wanazo mpaka sasa.
Tupe Sasa ya kwako ya ukweli unachojua!!japo ukweli ni kile anachoamini mtu kuwa nibcha kweli hata kama vinginevyo lakini kwake ni kweli!!Conspiracy theorist at your best
Hapana Queen Elizabeth ni Msukuma ukoo wao unatokea kwenye kijiji cha Mwabilanda ndugu zake walihama hapo kwenye karne ya 13 kuelekea huku Ulaya.Mbona nilisikia kuwa QUEEN ELIZABETH ni Mnyaturu wa Iborogero?
approvedHapana Queen Elizabeth ni Msukuma ukoo wao unatokea kwenye kijiji cha Mwabilanda ndugu zake walihama hapo kwenye karne ya 13 kuelekea huku Ulaya.
Acha ujuaji wa kijinga mzee. PRINCE PHILIP alikuwa mtoto wa MFALME WA UGIRIKI na ni MGIRIKI, sio MJERUMANI na hana uhusiano na huko kabisa.King George V wa Britain, Czar Nicholas II wa Russia na Kaiser Wilhelm wa Germany wote walikuwa cousins na walifanana sanaView attachment 2362414
Kwa mtu wa madongo kuinama atashangaa ila enzi zile walianza kuoleana kwenye falme tofauti ili kupunguza uadui uliokuwepo kabla. England na Spain zimepigana sana, England na France zimepigana vita nyingi tu, Russia na Britain zilipitia mikwaruzano. Suluhisho ilikuwa kuoleana, mwanamfalme wa Uingereza akimuoa binti wa mfalme wa Spain matokeo yake huyo mwana wa Uingereza akiwa mfalme atakuwa hawezi kupigana na wakwe zake. Na ndio uadui ulipungua hivyo.
Na ulilenga kumsema Prince Philip mume wa Malkia Elizabeth, huyo ndio Mjerumani na alikaribishwa ukoo wa kifalme alipotaka kuoa. Wakati dada zake walikuwa upande wa Nazi Germany, yeye alikuwa kamanda kwenye Royal Navy na alishiriki vita hasa uko Australia.
Wote hawa chimbuko lao ni masalia ya Vikings miaka kama 1000 iliyopita. Waingereza walipigana sana kugombea ufalme enzi zile za Knights. House ya hawa wa sasa ndio ilishinda na ikawa stable ila haikuwa mzawa wa asili na hilo lilisaidia
Kutukana naweza sana ila kwa reply hii nakuhifadhi unless ukitaka hiyo ligi.Acha ujuaji wa kijinga mzee. PRINCE PHILIP alikuwa mtoto wa MFALME WA UGIRIKI na ni MGIRIKI, sio MJERUMANI na hana uhusiano na huko kabisa.
Ndegelec.