Malkia Elizabeth wala siyo Muingereza, Uingereza inatawaliwa na foreigners!

It is very interesting
 

Ni nani aliyekwambia Monarchy ina uraia? Queen Elisabeth hata passport alikuwa hana, sasa ni Uraia gani unaouongelea?
 
Hakuna la ajabu... technically hata King Charles III wa sasa unaweza kusema sio Mwingireza, maana baba yake Prince Phillip alikuwa Mgiriki

Prince Phillip hakuwa Mgiriki bali alikuwa ni Mjerumani aliyezaliwa Ugiriki ambapo Familia yao ilitawala huko pia.
 
Safi sana mwenye thread. Wapuuzi na walio ignorant usihangaike nawo. Kudos kwa madini
 
Nani ni mwarabu ?....au mama yake Elizabeth ?
Kuna theory inasema Malkia Elizabeth ana unasaba na uarabu tena moja kwa moja kutoka nasaba ya mtume Muhammad..ingawa haijathibitishwa rasmi hii ishu ila hii ndio Sequence ya generation kutoka kwa Muhammad mpaka kufiki kwa Malkia eliza
 

Attachments

  • 4AE6BEE900000578-5587555-image-a-5_1523060720844.jpg
    63.7 KB · Views: 3
Hata asili ya English no Germanic Language,nothing new
 
Damu ya kiarabu waliiwahi kabla haijaingia kwenye ufalme maana princess Diana alikuwa na uhusiano na mwanaume wa kiarabu mpk wanakufa inamaana jamaa wangezaa tu mwarabu angekuwa mdogo wa prince Harry
Kumbe unaongelea kitu ambacho hakipo kabisa,nikadhani kuna mtu yupo hai ndani ya Ufalme mwenye damu ya kiarabu kama walivyo watoto wa Prince Harry wenye damu ya kiafrica
 
Hizi ni moja kati ya conspiracy theories nyingi tu kuhusu The Royal Family
 
Mku
Porojo za kiislamu bila chembe ya ushahidi. Ila ujue dini yako ilianzishwa na vatican na wao ndio waliandika original manuscripts na wanazo mpaka sasa.
Mkuu sijazungumzia uislamu wala ukristo nimezungumza ninachokijua kupitia maandishi niliyowahi kusoma hapo kabla!!

KWA maana wote tumezaliwa TU ni kupitia maandishi yawe ya ukweli au uongo ndipo imani ZETU zilipojengwa!!

Mimi nime share ninachojua kutoka kwenye maandishi niliyosoma!

Sikushangai coz hata misri ya kale haikuwa ya waarabu bali ya watu weusi NENO egyptus ni jina la malkia wa kike wa kimisri mweusibkwa Rangi yake waarabu walikuja Baadae!!

Dini zote Duniani ni mpangokazi wawatu KUTAKA kuwatawala wengine kiimani na kiakili!!

No hayo na wewe share vyako tu!!
 
Acha ujuaji wa kijinga mzee. PRINCE PHILIP alikuwa mtoto wa MFALME WA UGIRIKI na ni MGIRIKI, sio MJERUMANI na hana uhusiano na huko kabisa.
Ndegelec.
 
Acha ujuaji wa kijinga mzee. PRINCE PHILIP alikuwa mtoto wa MFALME WA UGIRIKI na ni MGIRIKI, sio MJERUMANI na hana uhusiano na huko kabisa.
Ndegelec.
Kutukana naweza sana ila kwa reply hii nakuhifadhi unless ukitaka hiyo ligi.

Wafalme mara nyingi kuondoa utata huwa wanaitwa kwa House names zao, sio kwa uraia wa kuzaliwa. Philip baba yake Mgiriki na mama ni familia ya Czar wa Urusi, ila House yake ni ya Kijerumani. Nilikosea kusema ni Mjerumani, sivyo. Ila House yake ni ya Kijerumani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…