Malkia wa movie za ngumi Cynthia Rothrock atua nchini Tanzania kula bata

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Neema zinazidi kumiminika nchini Tanzania baada ya [HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG] kutoka Hollywood kuja nchini Tanzania kutalii. Hakika wale ambao sio [HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG] hawawezi kujua namaanisha nini. Miaka hiyo kwenye vibanda vya video [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG] wamekula sana pesa yangu.

Wakati mwingine kusimama na kuchungulia kwenye dirisha la waliokuwa na tv [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG] ili nione muvi za huyu mwanamama mbabe.

d965a4c37b2f779d9193c5841a2396c4.jpg

Rothrock.png

DIT8RFpXoAAHDm8.jpg
DIVCwdxWAAA-BWR.jpg
DIVCz2BXcAAAucG.jpg
DIVCzauW0AEk-E4.jpg

RZ.png
Masai mara.png
 
Neema zinazidi kumiminika nchini Tanzania baada ya [HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG] kutoka Hollywood kuja nchini Tanzania kutalii. Hakika wale ambao sio [HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG] hawawezi kujua namaanisha nini. Miaka hiyo kwenye vibanda vya video [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG] wamekula sana pesa yangu.

Wakati mwingine kusimama na kuchungulia kwenye dirisha la waliokuwa na tv [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG] ili nione muvi za huyu mwanamama mbabe.

Hiyo ya juu picha ya lini?? Nategemea awe mzee sasa hivi.
Wapi Cynthia Khan ma michelle khan pia??

Nakumbuka kitu cha China O'brien, angel of fury, dah, wadada walikuwa wanatoa dozi, hapo niko kwa jirani nimeshaoga naangalia kideo kidogo kimetengenezewa kikabati chake!
 
Tulikuwa tunamwita China(Chaina), wahenga wenzangu nafikiri mmenisoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom