Malkia wa movie za ngumi Cynthia Rothrock atua nchini Tanzania kula bata

Malkia wa movie za ngumi Cynthia Rothrock atua nchini Tanzania kula bata

Namkubali sana na cynthia can. NO RETREAT NO SURRENDER

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebana hii filamu ni moto wa kuotea mbali..!
1503874725792.jpg
 
Dah! Umenikumbusha movie hii "NO RETREAT NO SURRENDER part 2
1:Cynthia Rothrock
2:Loren Avedon
3:Max Thayer
Jambazi Mathius Hues achana baba. Wakati movie ilikuwa movie. Kama kweli vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaani kwetu tulikuwa tunauita Loren ya mamba.

Ebana yule kaka jambazi alikuwa konyo sana.

Ni bora Ukutane na dubu porini anayetafuta wanawe kuliko jitu lile.
1503874883460.jpg
 
ila mbona anaonekana kijana, wakati alitakiwa aonekane mzee kama nilivyokutana na chuck norris kwenye supermarket 1 zanzibar, huyu naona bado bint,
 
Mtaani kwetu tulikuwa tunauita Loren ya mamba.

Ebana yule kaka jambazi alikuwa konyo sana.

Ni bora Ukutane na dubu porini anayetafuta wanawe kuliko jitu lile.
View attachment 576308
yule jambazi alikuwa konyo kweli, bora ukutane na simba utapatua, huyu jamaa alikuwa anatisha aisee, kuna yule 1 alicheza blood brothers ( no retreat no surrender 3) alikuwa na nywele nyeupe, simkumbi jina
 
semsia rock na chakinosi duuh
"eti ukichelewa usiku atufungui mlango" walaa sisikii mm huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dogo langu lilikuwa tundu sana, siku moja tukaenda kucheck movie ya ANARD " THE PREDATOR" Nikajisemea ni lazima nimkomeshe dogo. Movie ilipoisha wakati wa kurudi home, nikamtisha kuhusu jini la PREDATOR halafu nikamkimbia, dogo alilia na kupiga kelele balaa, akapunguza na tabia ya kuzurula usiku.
 
Dah maisha yalikua mazuri sana miaka hiyo. sasahivi chadema wameharibu kila kitu.
 
Cynthia Rothrock doing what she does best!

Ila kwenye sita kwa sita anaonekana ana kelele sana!
 
Back
Top Bottom