victormztz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 1,111
- 614
sasa hivi atakuwa kazeeka sana hizo picha za zamani sana
Ana 60yrs na bado ni martial arts instructor ndiomana anaonekana bado kijana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hivi atakuwa kazeeka sana hizo picha za zamani sana
Na kuna kitambaa cha tv pembeniHiyo ya juu picha ya lini?? Nategemea awe mzee sasa hivi.
Wapi Cynthia Khan ma michelle khan pia??
Nakumbuka kitu cha China O'brien, angel of fury, dah, wadada walikuwa wanatoa dozi, hapo niko kwa jirani nimeshaoga naangalia kideo kidogo kimetengenezewa kikabati chake!
Hahahaaaaa!
mpe hiDemu wangu huyo....
Hii interview ya mwaka jana, bado anaonekana kijana sana, hapa alikuwa 59 yrs old. Alafu ni kafupi kweli, 5'3, duh!Ana 60yrs na bado ni martial arts instructor ndiomana anaonekana bado kijana.
Martial Arts Kidhivi aliyocheza na Don en inaitwaje
Mapenzi hayana baunsa.namkumbuka sana kwenye movie ya yule bondia mtoboa macho.
yani yule bondia na ubabe wake wote, kwenye mapenz alikuwa anainua mikono juu.
Siri ni mazoezi! Mpaka leo yeye bado ni martial arts instructor, maana yake bado sio wa mchezo mchezo, zoezi kama kawa!duuuh ,mbona kama hazeeki, yuko vile vile.
asee kama njaa tu.Mapenzi hayana baunsa.
Cdm imekuvuruga sana huko nyuma siyoDah maisha yalikua mazuri sana miaka hiyo. sasahivi chadema wameharibu kila kitu.
Hahah,lkn huku wana cynthia wao anaitwa wema sepetu.Dah maisha yalikua mazuri sana miaka hiyo. sasahivi chadema wameharibu kila kitu.