Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
HahahahaKwa hiyo Malkia wa ngumi kaja kuonana na Malkia wa nguvu?!
Hiyo ya juu picha ya lini?? Nategemea awe mzee sasa hivi.Neema zinazidi kumiminika nchini Tanzania baada ya [HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG] kutoka Hollywood kuja nchini Tanzania kutalii. Hakika wale ambao sio [HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG] hawawezi kujua namaanisha nini. Miaka hiyo kwenye vibanda vya video [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG] wamekula sana pesa yangu.
Wakati mwingine kusimama na kuchungulia kwenye dirisha la waliokuwa na tv [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG] ili nione muvi za huyu mwanamama mbabe.
Tulikuwa tunamwita China(Chaina), wahenga wenzangu nafikiri mmenisoma.Hiyo ya juu picha ya lini?? Nategemea awe mzee sasa hivi.
Wapi Cynthia Khan ma michelle khan pia??
Nakumbuka kitu cha China O'brien, angel of fury, dah, wadada walikuwa wanatoa dozi, hapo niko kwa jirani nimeshaoga naangalia kideo kidogo kimetengenezewa kikabati chake!