Malkia wa movie za ngumi Cynthia Rothrock atua nchini Tanzania kula bata

Chalii wwe wa manzese au Mbagala

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi ni muhenga flani ambae wakati naangalia hizo hao akina lufufu sijui mkandala walikuwa hawajaanza hizo poroja zao za dub kwa kiswahili huku wanapotosha maana. Late 80's hadi early 90's tunazicheki kwenye kichupa kidogo karibu tupate makengeza au chongo. Siku ukienda ukumbini unakutana na walimu wako mnakaa side to side, wakati huo wanafunzi hawaruhusiwi kwenda kumbi za starehe usiku, kesho akija class anakupiga vijembe tu hakutaji jina wala hakupi adhabu kwa vile anakujua mwanachama mwenzie.
 


Huyu mama hatari sana, huwezi amini kama ana miaka 60.
 
Movie zilikuwa tamu asee

SAA iv computer zinaongezea mambo mengi had znaboa unaona kabisa ni uongo

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Mkuu movie tamu za action ni saiv zamani walikua wanazingua sana kama umeshaifatila
Mfano undisputed au raid redumption,haijawa tokea mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…