TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

Majirani hawana dogo, naona Malikia ameenda na lugha yake !

20220908_225900.jpg
 
Alimsalimia Liz Truss na kumwambia akapange safu yake ya mawaziri ila kwa Ile sura alikuwa anaumwa sana na kachoka au aliwekwa wa kufanana nae maana alikuwa kakonda sana na mkono wake ulikuwa mweusi sana sehemu ya nyuma ya kiganja
Ntamkumbuka sana Queen
Alikuwa mpole ila mkali akivurugwa
Harry kamuacha Meghan USA?? [emoji849][emoji849]
 
Kufuatia kifo chake, mtoto wake mkubwa, Mwanamfalme Charles


Mwanamfalme Charles na Prince William wameitwa kwenye makazi ya Malkia
Baba yake Chale hajawahi kuwa mfalme.

Chale hajawahi kuwa mwanamfalme.

Mfalme Chale alikuwa mwanamalkia.
 
Back
Top Bottom