TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

eff1.png


eff2.png
 
Rasmi watoto wa Harry wanakua Prince na Princess.
 
Vyuma havijataka fitina na uzandiki wa wanasiasa wa kiafrika wa kumung'unya maneno na kumsifia marehem eti kwa kwa saabu aliyekufa ni malikia😄 na wameweka namba zao kwa wooote wenye maswali🙌🙌🙌
Kuna watanzania eti wanajifanya kulia hadi macho kuvimba😁😁😁😁

Wakati hata ma prince walio bakia hakuna aliyedondosha chozi mpaka sasa
 
Harry tena? Charles ndo atakoma maana uking hauwezi cha pombe yule na Camilla wake ...wanapiga bia mpaka inasema nisamehe jamani
Hapa ssasa huu uzi nitausoma.. Nilijaribu kujuita nikawa naona mauza uza tu.
 
Saxe-Coburg-Gotha-Battenberg house wakabadili hili na kujiita Windsor house!...kufa kwa mmoja ni fursa nzurk kwa mwengine, RIP.
 
Back
Top Bottom