TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

Nenda mama nenda. Kamsalimie rafiki yako kipenzi JK Nyerere.
 
Hiki kifo kingetokea Jamhuri ya Stanza ungesikia;

" Malkia ni mzima na anaendelea kuchapa kazi, mnataka atoke aende wapi? London? Au Birmingham?
 
Malkia aliugua Corona mwezi wa pili mwaka huu na aliletwa Windsor kutoka Balmoral
Pia mwaka jana aliugua sana akaambiwa abadili lifestyle yake na kufutwa ziara yake ya Ireland

Hali yake ikazidi kuwa mbaya ingawa alikuwa anaonekana kwa nadra sana

Kweli Charles tulijua atakuwa Mfalme na Malkia aliongelea hilo kuwa mwanae ndio atamrithi ingawa linajulikana hilo

Nasema hivyo kufananisha na sisi kuwa ni tofauti na wenzetu ingawa kifo kinatisha ila wanajiandaa sana hata watu wa kawaida
 
Navyowajua Waingereza, hili tukio litatengenezewa habari mpaka mdhani ni msiba wa Dunia. Yaani hata ikatokea mmoja wa Mwanamfalme akatoa chozi katika jicho moja itakuwa habari kubwa sana, tena waandishi wanaweza kuelezea nama tukio la namna hiyo lilivyotokea miaka zaidi ya mia moja iliyopita na kumuelezea huyo Mwanamfalme kama Mtu mwenye moyo wa kipekee na mkarimu sana na kwamba msiba umemuumiza sana na yupo katika uangalizi maalum.
 
Mkuu hapo kuna biashara kubwa sana inakuja
Mahoteli mengi yao
Duke of Westminster family tu Wanahodhi £10b ya utajiri
 
Yani nipo mjini hapa hapa fully Internet, DStv and everything lakini hii Habari ndio naiona saa hii, (like for really?[emoji848]) utadhani kafa mwanakijiji wa Katavi huko anyways R.I.P
 
Huyo atakayerithi nafasi yake ana shavu haswa, kuna watu wamezaliwa wakiwa na vismati aiseee.
Sisi wenye Maisha ya juu ni kawaida yetu kupenda Maisha ya chini shavu tyuu tangia utoto!!hatujuagi km ilo ni shavu. yaani nchi yote ni yangu tyuu!...ila wamezoea mpaka wanaona ni kero!...….wanatamani Maisha Duni!

Ndo binadamu tulivyo! leo mie niko Australia, mpaka sasa sijala chochote! lkn mwana Kijiji ananiona Bonge la Bahati, shavu dodo! uuumbe holaa! wanaugua, wanakosana, wanagombana, wanakamatana uchawi,

umbea, kusingiziana, kuibiana vyupi hasa wake zao, kauchoyo uchoyo, kula sana vyakula vyote kunako friji, kuongea sana mpaka mate yanatoka mdomoni hasa mke wa William anaudhi akiongea!

af ana madharau sana kwa vile kamzaa Mfalme wa bidaye! alikuwa ana mdharau mke wa Harry kuwa alikuwa CD, pia ana asili ya nyani weusi!.....ana mbagua mnoo mpaka sasa,

ila sema tu mmewe kakomaa ivoivo! ubinafsi, mara huyu ananiona hivi mara vile chuki za wastani zipo sana tu! pia si unaona Harry na mkewe na watoto mpaka wamesepa kwenye castry,

wako USA, km raia tu! sasa ndo ujue hata huko napo pachungu, unatakiwa uwe na akili ili uyaishi hayo Maisha!...ila matatizo yao yanasuruhishwa huko huko!...kusema kweli niliamua kuondoka hapo kwenye familia ya kifalme!

Nilijiuliza sana km wao weupe wana dharauliana je mie mweusi??? hataaa!
 
Angalia BBC na channels za mambele zimejaa hizo habari. Kisha nenda yahoo pia
Yani nipo mjini hapa hapa fully Internet, DStv and everything lakini hii Habari ndio naiona saa hii, (like for really?[emoji848]) utadhani kafa mwanakijiji wa Katavi huko anyways R.I.P
 


Shedding tears for your bloodsucker is a sure sign of stockholm syndrome!
 
Wanaomboleza na kulia
Kwa kweli niliposikia watoto na wajukuu wanakimbilia Baltimore nikajua kafa bibi
Ila kaula yaani tangu Churchill PM na Stalin Rais wa Urusi sio leo

Apumzike nae
Sasa tuna King [emoji1780] wa 3
Naona Harry kasepa London kaondoka Balmoral....hivi kaja na Me Again?
 
Harry tena? Charles ndo atakoma maana uking hauwezi cha pombe yule na Camilla wake ...wanapiga bia mpaka inasema nisamehe jamani
Harry si ndiyo alikuwa Mjukuu wa Bibi kipenzi....

Sasa anaanza kuyaishi maisha bila yeye...
Baba yake mwenyewe ndiyo huyo saa mbovu....Akili ameshikiwa na Camilla..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…