TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hivi Meghan ingewezekana si angekuja tu? Au ni lazima?
 
Wakuu kuna watu bado waulizauliza hapo kuhusu utaratibu wa msiba na hatimae maziko ya Malkia Elizabeth wa pili, ntaeleza kwa ufupi kidogo.

Mwili wake watarajiwa kupelekwa London siku ya jumanne na utalala Bukhingham Palace. Kisha maandalizi yataanza kwa kuupeleka pale Westminster Palace ambako utalala sehemu yenye ukumbi mkubwa wa Westminster Hall.

Hapo Westmenster Hall ndipo watu watapata fursa ya kuuaga mwili na kutoa heshima za mwisho na mwili utaendelea kulala hapo ukisubiri viongozi wa mataifa mbalimbali ambao wataanza kuwasili Ijumaa tarehe 16.

Shughuli ya maziko rasmi ni pale Westminster Abbey na hio itatangazwa na runinga zote kama ilivyokuwa kwa Diana.

Baada ya shughuli zote za maziko kukamilika Jumatatu tarehe 19, mwili wa Malkia wa Uingereza Elizabeth wa pili utapelekwa sehemu iitwayo St George Chapel iliyopo sehemu iitwayo Windsor ambayo ni kama lisaa hivi kutoka London.

Hapo ndipo yalipo makaburi ya kifalme na amezikwa baba yake Elizabeth George wa VI paitwa King George Memorial Chapel na makaburi mengine yote ya ukoo wao yapo hapo.

Phillip mume wake Elizabeth yupo hapo akimsubiri mkewe na watawekwa pamoja.

Hii sehemu ilijengwa kati ya mwaka 1425 na 1528 na makaburi yote yapo chini sehemu iitwayo "Vault" huku juu yake pakiwa na kanisa liitwalo St George Chapel ambalo Mfalme Charles wa tatu na Malkia Koni Camilla walibariki ndoa yao na pia mwanamfalme Harry alioana na mkewe Meghan.

Kuna watu wameuliza kuhusu urithi wa kiti cha ufalme na ni nani anastahiki kufuata.

Mfalme Charles wa tatu ndie alikuwa mrithi wa kwanza wa kiti hicho na wanofuata ni William na watoto wake, Yaani George, Charlote na Louis.

William kwa sasa ndie mrithi wa kwanza baada ya Charles na mkewe Catherine atakuwa Malkia Catherine.

Kisha afuatia Harry ambae ni wa tano katika orodha ya warithi na watoto wake na baada ya hapo wafuatia wengine ambao ni baba zao wadogo William na Harry ambao ni Andrew na watoto wake, Edward na watoto wake

Hivyo Mfalme mtarajiwa baada ya Mfalme Charels wa tatu ni William ambae kwa sasa ana umri wa miaka 40.
 
OLB ni moja ya kazi za DS ambazi kwa sisi tunofuatilia ni kwamba ni lazima wakati wa msiba nchi isiwe na shida yoyote yaani hakuna vurugu, hakuna migomo wala kusiwepo dalili ya mambo hayo.

Ndo maana migomo imesitishwa mpaka msiba uishe, mitandao yote yaangaliwa na biashara zote na shughuli zote za kiuchumi ziendelee bila shida.

Kwahio maneno kama "mshikamano wa kitaifa" na "kutumia muda huu kujifariji" ndo yatumika kuzuia mambo kama migomo.

Hivyo, kama kuna watu wenye mipango yoyote ya kuhairbu wameambiwa iwe ni baada ya tarehe 19 Septemba.

Hio ndio maana halisi ya OLB.
 
Kumbe nao wana pilikapilika kama za kiafrica, ndo maana prince hurry aliamua kuoa damu chafu (wao wanaita) na kasepa kweli nao hawakosi tofauti za hapa na pale sema sisi ushwahili mwingi.
😅😅😅😅😅😅kwa njia yeyote kesho hakikisha unapata picha, maneno lazima yasindikizwe na tupicha ikiwezekana tuvideo. Unawakilisha vyema mkuu
 
Asante kwa taarifa naona umeielezea vizuri hii damu safi ya kifalme. Mkuu uwe unasindikiza na tupicha itanoga zaidi😄
 
Asante kwa taarifa naona umeielezea vizuri hii damu safi ya kifalme. Mkuu uwe unasindikiza na tupicha itanoga zaidi😄

Picha hii ya kwanza yaonyesha urithi wa kiti cha ufalme.

Hii ya hapo chini yaonyesha hali ilivyo baada ya kifo cha Malkia Elizabeth wa pili.



Natumaini utapata mwanga.
 
View attachment 2351687
Picha hii ya kwanza yaonyesha urithi wa kiti cha ufalme.

Hii ya hapo chini yaonyesha hali ilivyo baada ya kifo cha Malkia Elizabeth wa pili.

View attachment 2351697

Natumaini utapata mwanga.
Tho ni ngumu kusogelea hii familiya ila kama mzaa ikatokea chance hata kwa kutegeshea mimba nikamkamata mtoto mmoja wa hii familiya.siwezi kuwa mzembe aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hapa kuna aatu watasema naota ahaaa kwa mara ya kwanza naweza jirahisisha kwa mwanaume 😅😅🙈🙈🙈
 
Basi ntakuconnect ntamwambia William msiba ukiisha akupambanie😅
Umempenda nani?
 
Basi ntakuconnect ntamwambia William msiba ukiisha akupambanie😅
Umempenda nani?
Hili swali gumu tho willy angefaa kwa matumizi, yaan yeyote wa kiume akieleweka mimi nataka damu safi jamani.
Hii connection inaweza kuwa babu kubwaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hili swali gumu tho willy angefaa kwa matumizi, yaan yeyote wa kiume akieleweka mimi nataka damu safi jamani.
Hii connection inaweza kuwa babu kubwaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Woooo Lady
Wahi kwa Harry ukapigane vikumbo na Meg
Will is My King😅🤣
 
Ya Queen eliza yanaweza kujirudia kwa Charlotte. Queen Charlotte, hope George hatazingua mbeleni
 
View attachment 2351687
Picha hii ya kwanza yaonyesha urithi wa kiti cha ufalme.

Hii ya hapo chini yaonyesha hali ilivyo baada ya kifo cha Malkia Elizabeth wa pili.

View attachment 2351697

Natumaini utapata mwanga.
Hawa ma-princess/prince wanakuwa na ofisi zao kabisa za kuingia na kufanya kazi au ni maneno tuu!...mfano haka ka princess of cornwall nimekapenda sababu tunafanana!! sasa haka kataingia ofisini kafanye nini haka!

Siku UK ikipigwa/kuchakazwa na Russia na China ndo Mwisho wa hii familia ya kifalme!!….Wachoyo sana hawa watu weupe wamezipiga vita familia za kifalme za waafrica weeee!! mpaka wamebaki wenyewe tu!

Na sisi weusi ndiyo wa kwanza kuunda Falme Duniani, wao wamekopi tu!...wakatupiga vita weeee!! ili wabaki peke yao wakiwa na falme zao! AFRICA tumebaki na tufalme tuwili tuu!! Yaani Swaziland na Lesotho!!

usinambie eti na Morocco! siyo weusi wale!...wapi kwingine nimesahau….Bunyoro au....nooo ngoja nije kwanza
 
Wewe huo mbichwa wako kama mlevi wa nyang'wale ufanane na mzungu gani shehe

Wewe tuendelee kupambana na Kina mwajumu Hawa kina Camila wanaliwa kwenye majumba ya kifalme
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…