Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Familia ya Kifalme nchini Uingereza imekusanyika katika kasri ya Balmoral ikiwa ni baada ya taarifa za afya ya Malkia Elizabeth II kuwa dhaifu kuwekwa hadharani. Viongozi mbalimbali duniani wameendelea kutuma ujumbe wa kumtakia afya njema.