TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

Kwel kifo ni mpango wa Mungu ,huyu malkia ana timu kubwa ya madactari na manesi wako maalumu kulinda afya yake kuanzia kuoga had kula,sasa bibi yangu kijijini ana 102 bado anapeta ,hata bima ya afya hajui ni kitu gan.
Kwani Mkuu anataka aishi miaka 1000??
 
Lizzy.jpg


Buckingham Palace wametangaza kifo cha Malikia Elizabeth wa 11 muda huu

Habari zaidi kuwajia

----
The Queen died peacefully at Balmoral this afternoon.

The King and The Queen Consort will remain at Balmoral this evening and will return to London tomorrow.

Elizabeth.PNG
 
Safari itakuwa imeanza rasmi....
 
Back
Top Bottom