Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya malori ni mapya kabisa kutoka kiwandani. Brand new, 0 km.
Ndio. 0717-518359 au 0767-379412.Sawa, namba yako ya simu ndiyo hiyo hapo juu?
poaAhsante, tutawasiliana.
kaka hayo malori ndo yapo hapo yard ya tazara kaibu na kiwanda cha sigara cha TCC?toa details za credit inakuaje ineed two units broooFuso canter single cabin ya tan 4 brand new ni USD 45,000/
Mitisubishi pick up Brand new ni USD 30,000/
ndio bosi. yapo yadi ya tazara. sasa kwa biashara ya credit tungewasiliana kwenye simu bosi au fika ofisini kwetu hapo kipawa, mitsubishi motors ltd.kaka hayo malori ndo yapo hapo yard ya tazara kaibu na kiwanda cha sigara cha TCC?toa details za credit inakuaje ineed two units brooo
Dola 81,000 mkuu. Gari mpya, Tipper body 18 m3. Engine 336 HP. GIA 12 Transmission. Capacity- 40 tons
ni 6 x 4. Hizi tunakuwekea special oda unalipia asilimia 50 advance, mzigo unaingia baada ya siku 45 au 60 kisha unamalizia balance iliyobaki unachukua gari yako.
View attachment 807067