Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

31945841_1741668172560896_5126520668707356672_n.jpg
 
jokielias haya 'Made In China,' ni mapya au ni yale yaliyotumika miaka 30 iliyopita yamekuja huku Bongo kuozeana tu? Yana kilomita ngapi kama ni used?
 
Vipi mkuu hakuna hata moja bovu mniuzie kwa bei chee niwe nasafirishia majeneza kutoka hapa Dom kwenda Dar?
 
Fuso canter single cabin ya tan 4 brand new ni USD 45,000/
Mitisubishi pick up Brand new ni USD 30,000/
kaka hayo malori ndo yapo hapo yard ya tazara kaibu na kiwanda cha sigara cha TCC?toa details za credit inakuaje ineed two units brooo
 
kaka hayo malori ndo yapo hapo yard ya tazara kaibu na kiwanda cha sigara cha TCC?toa details za credit inakuaje ineed two units brooo
ndio bosi. yapo yadi ya tazara. sasa kwa biashara ya credit tungewasiliana kwenye simu bosi au fika ofisini kwetu hapo kipawa, mitsubishi motors ltd.

0767-379412
 
Dola 81,000 mkuu. Gari mpya, Tipper body 18 m3. Engine 336 HP. GIA 12 Transmission. Capacity- 40 tons
ni 6 x 4. Hizi tunakuwekea special oda unalipia asilimia 50 advance, mzigo unaingia baada ya siku 45 au 60 kisha unamalizia balance iliyobaki unachukua gari yako.

View attachment 807067

stock mpya ya howo inaingia mwezi wa 8. mabosi wangu wote tuliokuwa tunaongea nao kwenye simu, naomba mnitafute kwenye simu. howo tractor horse zipo 5 zinaingia stock muda si mrefu. MKichelewa kidogo tu zinaenda congo kwa biashara nafikiri mnafahamu haya Malori mapya ya Howo hazikai muda mrefu showroom zinauzwa kama njugu kuliko malori mengine. wahi sasa, piga simu tuma oda kabla watoto hawajauzwa.

simu - 0767-379412 au fika ofisi yetu ya kipawa karibu na sido.
 
Back
Top Bottom