Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

20140902093725883.jpg
 
Jokielias waweza weka price list ya tarehe husika.Itapendeza ikiwa katika mfumo wa picha cc,tonnage
 
Jokielias waweza weka price list ya tarehe husika.Itapendeza ikiwa katika mfumo wa picha cc,tonnage
nazifanyia kazi bosi ntaweka lakini kama unavyojua bei za magari mapya zinabadilika badilika kutokana na mfumo wa dollar na gharama za kodi, storage charges n.k.
 
Hivi hiyo million 160,nikienda zangu kwa Kilimanjaro express/Dar lux pale Nairobi kwa wazee wa Fabrication, Master Fab, au Malva Fab. Siwezi pata Fuso zangu mbili za nguvu?? Au City Bus mbili kali??
anyway kazi njema
hahahahaha we jamaaa
 
Ni vizuri ukatumua viwango vya tsh kuliko us, mkuu
asante mkuu ndio nafanyia kazi. huu uzi nataka nipige marketing ya kutosha ili wadau wote wa biashara wapate taarifa kuhusu malori na magari tunayouza.
 
asante mkuu ndio nafanyia kazi. huu uzi nataka nipige marketing ya kutosha ili wadau wote wa biashara wapate taarifa kuhusu malori na magari tunayouza.
Poa mkuu komaa mungu atakusaidia kitaeleweka
 
Back
Top Bottom