Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

HOWO SITRACK
SPECIFICATIONS
DIESEL ENGINE- 4 STROKE, 6 CYLINDER.
HORSE POWER 430
6X4 DOUBLE DIFF
GEAR TRANSMISSION- 12 FORWARD 2 REVERSE.
FUEL TANK - 560.
FUEL CONSUMPTION- 42 LITERS FOR 100 KM.

IMG_20180305_105606.jpg
 
Hivi hiyo million 160,nikienda zangu kwa Kilimanjaro express/Dar lux pale Nairobi kwa wazee wa Fabrication, Master Fab, au Malva Fab. Siwezi pata Fuso zangu mbili za nguvu?? Au City Bus mbili kali??
anyway kazi njema

Ulikuwa na ulazima gani wa kuandika ulichokiandika kwenye biashara ya mwenzio.....!!?

Lengo lako ni nini kama sio kumharibia biashara..!!? Na hiyo ni roho mbaya na chuki kwamba unaona mwenzio atafanikiwa.....!!!!

Kama wewe unafahamu huko wanaokouza bei rahisi zaidi Kwanini na wewe usitumie fursa hiyo kupata faida kubwa.......!!?

Kwanini na wewe usifungue ukurasa wako hapa ukawa kama middle man na kupata kamisheni kwa hao wanaouza vitu vya bei Chee....!!?

Kwanini waTanzania tuna kuwa na roho mbaya na wenzetu wanaojaribu kujikwamua kwenye umasikini.....!!?

Kwa hiyo hapo mwenyewe unafurahi na unaona Sawa na ulichokifanya....!!?

NB
WABARIKI WENGINE NA WEWE UPATE KUBARIKIWA......
 
Japanese ndyo chuma bhana
Hawa wa China n makaratas
Tu ndo wanatuletea
 
Japanese ndyo chuma bhana
Hawa wa China n makaratas
Tu ndo wanatuletea
Hamna mbona za kichina ndio yana soko sasahivi. kwa uimara na ubora na vilevile spea ni bei rahisi.

pesa sasahivi ni ngumu bosi, malori ya kichina ndio kimbilio la wanyonge sasahivi. wanaonunua za japan ni wachache.
 
Howo na sitrak ni malori yanyotengenezwa na kampuni ya Sinotruck ya kutoka china. zote zimetengenezwa kwa standard ya europe. hazitoi moshi wa kuchafua mazingira, ni nafuu kwa safari ndefu, hazitumii mafuta mengi, km 4 kwa lita. tunatoa warranty ya miaka 3 kwa malori yetu. spea na service tunakufanyia. Na ni bei nafuu kuliko malori menigine mapya. simu 0767-379412.
 
Back
Top Bottom