Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

Mambo yakiwa sawa ndugu yangu nitakutafuta nahitaji fusso tan 4 single cab, sijui bei gani iwe mpya au used.
 
mzigo mpya wa howo unaingia mwezi wa sita mwishoni au wa saba mwanzoni. mabosi wangu mniatafute kwa simu 0717-518359, 0767-379412.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…