Malori yasiingie mjini yanaharibu barabara

Malori yasiingie mjini yanaharibu barabara

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Ushauri kwa Rais kwa kuwa Sasa bandarini pamekuwa so soft shamba la Bibi hatuna namna ila tulindieni barabara yetu, hayo malori yasiingie mjini, tumieni treni.
 
Salama wandugu, nimerudi Tena,kwa Mara ya kwanza namuona Raisi Samia kuwa msikivu, baada ya hii post yangu Sasa malori yatazuiliwa ,kumbe mama vicoba upo mwelevu basi tutaelewana piga KAZI...
 
Back
Top Bottom