Maloto: Tanzania inahitaji 'Statesmen', si wakosoaji kama Warioba

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Mwandishi wa makala za siasa, Luqman Maloto, amesema Tanzania inahitaji wakosoaji, lakini pia inahitaji viongozi wastaafu wenye hadhi ya 'Statesman' ambao wanaweza kuwa washauri na wapatanishi katika nyakati za misukosuko ya kisiasa, akibainisha kuwa mkosoaji anayejenga uadui na uongozi uliopo madarakani hupoteza nafasi ya kuaminika kama mshauri wa Nchi.

Maloto amesema Jaji Joseph Warioba, ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu na Waziri Mkuu mstaafu, ana uzoefu mkubwa wa kiuongozi unaompa hadhi ya kuwa 'Statesman' na mshauri wa viongozi waliopo madarakani. Hata hivyo, amesema Warioba amejipambanua zaidi kama mkosoaji kuliko mshauri na mpatanishi, hali ambayo kwa maoni yake inaweza kupunguza uwezo wake wa kuaminika na pande zote katika kutafuta suluhu za changamoto zinazolikabili taifa.

Amesema mshauri hawezi kuwa mtu ambaye kila mara anaonekana akimshambulia hadharani mtu anayepaswa kumshauri, akieleza kuwa hali hiyo humfanya mshauriwa kumuona kama mpinzani badala ya mshauri, akitolea mfano kauli ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliyowahi kusema kwamba angeshangaa kama Warioba na wenzake wangempongeza, akisema kauli hiyo inaonesha namna mtu anavyoweza kutambulika katika nafasi ya mkosoaji na hivyo kupoteza nafasi ya kuonekana kama mshauri.

Maloto amehoji pia kwa nini Warioba hajawahi kujitokeza hadharani kupongeza hatua chanya za Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, akitolea mfano kukamilika na kuzinduliwa kwa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP), akibainisha kuwa kwa hadhi yake hakupaswa kuwa na upande bali anatakiwa kuwa sehemu ya suluhu, akitumia uzoefu wake kuunganisha pande zinazokinzana na kuhakikisha masilahi ya taifa yanawekwa mbele.

Akizungumzia matukio ya Oktoba 29, 2025, Maloto amesema Tanzania inahitaji watu wenye hadhi ya 'Statesman' kutumia ushawishi wao kuponya taifa na kuhamasisha mazungumzo na maridhiano, akimkosoa kwa kauli yake kwamba idadi ya vifo vilivyotokana na matukio hayo ilikuwa kubwa kuliko vifo vya Vita ya Kagera, taarifa ambazo ni za mtandaoni na si hesabu rasmi, hivyo hazikupaswa kutumiwa na mtu mwenye hadhi yake.

Kwa ujumla, Maloto amesema Warioba anapaswa kujiuliza kama kuendelea kuikosoa Serikali hadharani kutasaidia kumaliza mivutano ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa historia ya Tanzania inaonesha mazungumzo na maridhiano kuwa miongoni mwa njia zilizosaidia taifa kuvuka vipindi vigumu. Amesema lengo la Statesman linapaswa kuwa kuhakikisha Tanzania inashinda, badala ya upande mmoja wa kisiasa kushinda, na kwamba kwa kujipambanua kama mkosoaji, Warioba amepoteza kwa kiasi kikubwa hadhi ya kuonekana kama mshauri na mpatanishi wa Rais
IMG-20260903-WA0001.jpg
 
Mwandishi wa makala za siasa, Luqman Maloto, amesema Tanzania inahitaji wakosoaji, lakini pia inahitaji viongozi wastaafu wenye hadhi ya 'Statesman' ambao wanaweza kuwa washauri na wapatanishi katika nyakati za misukosuko ya kisiasa, akibainisha kuwa mkosoaji anayejenga uadui na uongozi uliopo madarakani hupoteza nafasi ya kuaminika kama mshauri wa Nchi.

Maloto amesema Jaji Joseph Warioba, ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu na Waziri Mkuu mstaafu, ana uzoefu mkubwa wa kiuongozi unaompa hadhi ya kuwa 'Statesman' na mshauri wa viongozi waliopo madarakani. Hata hivyo, amesema Warioba amejipambanua zaidi kama mkosoaji kuliko mshauri na mpatanishi, hali ambayo kwa maoni yake inaweza kupunguza uwezo wake wa kuaminika na pande zote katika kutafuta suluhu za changamoto zinazolikabili taifa.

Amesema mshauri hawezi kuwa mtu ambaye kila mara anaonekana akimshambulia hadharani mtu anayepaswa kumshauri, akieleza kuwa hali hiyo humfanya mshauriwa kumuona kama mpinzani badala ya mshauri, akitolea mfano kauli ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliyowahi kusema kwamba angeshangaa kama Warioba na wenzake wangempongeza, akisema kauli hiyo inaonesha namna mtu anavyoweza kutambulika katika nafasi ya mkosoaji na hivyo kupoteza nafasi ya kuonekana kama mshauri.

Maloto amehoji pia kwa nini Warioba hajawahi kujitokeza hadharani kupongeza hatua chanya za Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, akitolea mfano kukamilika na kuzinduliwa kwa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP), akibainisha kuwa kwa hadhi yake hakupaswa kuwa na upande bali anatakiwa kuwa sehemu ya suluhu, akitumia uzoefu wake kuunganisha pande zinazokinzana na kuhakikisha masilahi ya taifa yanawekwa mbele.

Akizungumzia matukio ya Oktoba 29, 2025, Maloto amesema Tanzania inahitaji watu wenye hadhi ya 'Statesman' kutumia ushawishi wao kuponya taifa na kuhamasisha mazungumzo na maridhiano, akimkosoa kwa kauli yake kwamba idadi ya vifo vilivyotokana na matukio hayo ilikuwa kubwa kuliko vifo vya Vita ya Kagera, taarifa ambazo ni za mtandaoni na si hesabu rasmi, hivyo hazikupaswa kutumiwa na mtu mwenye hadhi yake.

Kwa ujumla, Maloto amesema Warioba anapaswa kujiuliza kama kuendelea kuikosoa Serikali hadharani kutasaidia kumaliza mivutano ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa historia ya Tanzania inaonesha mazungumzo na maridhiano kuwa miongoni mwa njia zilizosaidia taifa kuvuka vipindi vigumu. Amesema lengo la Statesman linapaswa kuwa kuhakikisha Tanzania inashinda, badala ya upande mmoja wa kisiasa kushinda, na kwamba kwa kujipambanua kama mkosoaji, Warioba amepoteza kwa kiasi kikubwa hadhi ya kuonekana kama mshauri na mpatanishi wa RaisView attachment 3662350
Utawezaje kumpatanisha Chura Kiziwi ambaye hataki ushauri.
 
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
Anatuhadaha huyu. Kwa hadhi yake Mzee Warioba hawezi kukurupuka na ukosoaji, labda mashauri yake yanapuuzwa. Na kwanini unaogopa kukosolewa? Kama umekosea usiambiwe? Ndiyo ushauri mzuri ni wa sirini, lakini kama haufanyiwi kazi afanye nini? Halafu serikali zinao mfumo wa kujisifia, kama TBC na wengine kama hao. Wa kuikosoa serikali ni bunge, lakini ndiyo hivyo limekuwa kama mbwa mkali asiye na meno. Miaka mitano si mbali ni kesho tu uchaguzi. Wekeni mambo sawa maisha yaendelee.
 
Nyie ndio mmepoteza hadhi ya kuwa Sehemu mkopo basi tu mnatumia nguvu, huyo Warioba ndiye aliyepewa nafasi ya kuongoza tume ya katiba mpya tumeenda vizuri mkamgeuka mkamtumia akina Makonda wampige leo mnaongea mashudu haya huyo JK ambaye amewahi kuiongoza Tz miaka 10 na ndio raisi mstaafu aliyebak amefanya nini?
 
Mwandishi wa makala za siasa, Luqman Maloto, amesema Tanzania inahitaji wakosoaji, lakini pia inahitaji viongozi wastaafu wenye hadhi ya 'Statesman' ambao wanaweza kuwa washauri na wapatanishi katika nyakati za misukosuko ya kisiasa, akibainisha kuwa mkosoaji anayejenga uadui na uongozi uliopo madarakani hupoteza nafasi ya kuaminika kama mshauri wa Nchi.

Maloto amesema Jaji Joseph Warioba, ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu na Waziri Mkuu mstaafu, ana uzoefu mkubwa wa kiuongozi unaompa hadhi ya kuwa 'Statesman' na mshauri wa viongozi waliopo madarakani. Hata hivyo, amesema Warioba amejipambanua zaidi kama mkosoaji kuliko mshauri na mpatanishi, hali ambayo kwa maoni yake inaweza kupunguza uwezo wake wa kuaminika na pande zote katika kutafuta suluhu za changamoto zinazolikabili taifa.

Amesema mshauri hawezi kuwa mtu ambaye kila mara anaonekana akimshambulia hadharani mtu anayepaswa kumshauri, akieleza kuwa hali hiyo humfanya mshauriwa kumuona kama mpinzani badala ya mshauri, akitolea mfano kauli ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliyowahi kusema kwamba angeshangaa kama Warioba na wenzake wangempongeza, akisema kauli hiyo inaonesha namna mtu anavyoweza kutambulika katika nafasi ya mkosoaji na hivyo kupoteza nafasi ya kuonekana kama mshauri.

Maloto amehoji pia kwa nini Warioba hajawahi kujitokeza hadharani kupongeza hatua chanya za Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, akitolea mfano kukamilika na kuzinduliwa kwa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP), akibainisha kuwa kwa hadhi yake hakupaswa kuwa na upande bali anatakiwa kuwa sehemu ya suluhu, akitumia uzoefu wake kuunganisha pande zinazokinzana na kuhakikisha masilahi ya taifa yanawekwa mbele.

Akizungumzia matukio ya Oktoba 29, 2025, Maloto amesema Tanzania inahitaji watu wenye hadhi ya 'Statesman' kutumia ushawishi wao kuponya taifa na kuhamasisha mazungumzo na maridhiano, akimkosoa kwa kauli yake kwamba idadi ya vifo vilivyotokana na matukio hayo ilikuwa kubwa kuliko vifo vya Vita ya Kagera, taarifa ambazo ni za mtandaoni na si hesabu rasmi, hivyo hazikupaswa kutumiwa na mtu mwenye hadhi yake.

Kwa ujumla, Maloto amesema Warioba anapaswa kujiuliza kama kuendelea kuikosoa Serikali hadharani kutasaidia kumaliza mivutano ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa historia ya Tanzania inaonesha mazungumzo na maridhiano kuwa miongoni mwa njia zilizosaidia taifa kuvuka vipindi vigumu. Amesema lengo la Statesman linapaswa kuwa kuhakikisha Tanzania inashinda, badala ya upande mmoja wa kisiasa kushinda, na kwamba kwa kujipambanua kama mkosoaji, Warioba amepoteza kwa kiasi kikubwa hadhi ya kuonekana kama mshauri na mpatanishi wa RaisView attachment 3662350
Mtu kaua utamsgauri nini?
 
Maendeleo bila watu yanakosa maana. Sasa mnaua watu, mnateka. Sasa maana ipo wapi? Ni madaraka? Mnawajengea mazingira magumu ndugu na watoto wenu mtakapoachishwa hizo nafasi. Jifunze kwa Polepole, Nchimbi wameshasahaulika.
 
Kwa hiyo kukosolewa siyo ushauri?wapumbavu wanataka huyo mshenzi wao apewe ushauri wa kusifiwa?
 
Mwandishi wa makala za siasa, Luqman Maloto, amesema Tanzania inahitaji wakosoaji, lakini pia inahitaji viongozi wastaafu wenye hadhi ya 'Statesman' ambao wanaweza kuwa washauri na wapatanishi katika nyakati za misukosuko ya kisiasa, akibainisha kuwa mkosoaji anayejenga uadui na uongozi uliopo madarakani hupoteza nafasi ya kuaminika kama mshauri wa Nchi.

Maloto amesema Jaji Joseph Warioba, ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu na Waziri Mkuu mstaafu, ana uzoefu mkubwa wa kiuongozi unaompa hadhi ya kuwa 'Statesman' na mshauri wa viongozi waliopo madarakani. Hata hivyo, amesema Warioba amejipambanua zaidi kama mkosoaji kuliko mshauri na mpatanishi, hali ambayo kwa maoni yake inaweza kupunguza uwezo wake wa kuaminika na pande zote katika kutafuta suluhu za changamoto zinazolikabili taifa.

Amesema mshauri hawezi kuwa mtu ambaye kila mara anaonekana akimshambulia hadharani mtu anayepaswa kumshauri, akieleza kuwa hali hiyo humfanya mshauriwa kumuona kama mpinzani badala ya mshauri, akitolea mfano kauli ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliyowahi kusema kwamba angeshangaa kama Warioba na wenzake wangempongeza, akisema kauli hiyo inaonesha namna mtu anavyoweza kutambulika katika nafasi ya mkosoaji na hivyo kupoteza nafasi ya kuonekana kama mshauri.

Maloto amehoji pia kwa nini Warioba hajawahi kujitokeza hadharani kupongeza hatua chanya za Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, akitolea mfano kukamilika na kuzinduliwa kwa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP), akibainisha kuwa kwa hadhi yake hakupaswa kuwa na upande bali anatakiwa kuwa sehemu ya suluhu, akitumia uzoefu wake kuunganisha pande zinazokinzana na kuhakikisha masilahi ya taifa yanawekwa mbele.

Akizungumzia matukio ya Oktoba 29, 2025, Maloto amesema Tanzania inahitaji watu wenye hadhi ya 'Statesman' kutumia ushawishi wao kuponya taifa na kuhamasisha mazungumzo na maridhiano, akimkosoa kwa kauli yake kwamba idadi ya vifo vilivyotokana na matukio hayo ilikuwa kubwa kuliko vifo vya Vita ya Kagera, taarifa ambazo ni za mtandaoni na si hesabu rasmi, hivyo hazikupaswa kutumiwa na mtu mwenye hadhi yake.

Kwa ujumla, Maloto amesema Warioba anapaswa kujiuliza kama kuendelea kuikosoa Serikali hadharani kutasaidia kumaliza mivutano ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa historia ya Tanzania inaonesha mazungumzo na maridhiano kuwa miongoni mwa njia zilizosaidia taifa kuvuka vipindi vigumu. Amesema lengo la Statesman linapaswa kuwa kuhakikisha Tanzania inashinda, badala ya upande mmoja wa kisiasa kushinda, na kwamba kwa kujipambanua kama mkosoaji, Warioba amepoteza kwa kiasi kikubwa hadhi ya kuonekana kama mshauri na mpatanishi wa RaisView attachment 3662350

Kama kushauriwa mbona keshashuriwa sana. Tatizo ni mshauriwa ... haonekani kufanyia kazi yale anayoshauriwa. Bora sasa Warioba anawashauri Watanzania.
 
UDINI ndio umemdhidi akili Mzee Warioba
Kiasi kwasasa nikama anajivua nguo mbele ya Watoto
wadogo🫡🫡

Aibu kama yeye hana ‼️
basi wazee wenzie wanapata wao Aibu yake😥😥

masikitiko kwake na Aiba yake✍️
 
Wazee wenzie wapo kimya yeye tu na yule Betina mwengine😆😆
 
Wewe inavyoonyesha kwenu hamna wazee,Nani Mzalendo zaidi ya Babu wa Taifa Mzee Warioba?
 
Warioba amepoteza kwa kiasi kikubwa hadhi ya kuonekana kama mshauri na mpatanishi wa Rais
 
Back
Top Bottom