Maloto: Tanzania inahitaji 'Statesmen', si wakosoaji kama Warioba

Kumbe posho ya kumnanga Warioba imeshaingia ndio maana naona matakataka mengi sana humu leo.
 
Huyu ni nani apunguze kujipa umuhimu sana kwenye maisha ya watu
 
Wapo kimya dhidi ya utekaji unaoendelea? Je anachoongea warioba ni kweli?

Utekaji umeanza lini mbona kitambo tu lkn wamekuwa kimyaa

Kumbukumbu zako uyu Warioba anazingua kukiwa na Rais muislamu zaidi ndiyo

ilipelekea Paul Makonda kutaka kumzonga zonga kidogo uyu Mzee
Kama kameweuka kidogo 😥😥

Mzozo ule na Makonda Rais alikuwa Jakaya Mrisho Kikwete

Kipindi cha rip JPM Warioba kimyaaaaaaa na yule Betina mweupee kimyaaaa

Alakati zao za kinafki

Ndiomana tunaweza kusema Sheikh Ponda yeye ni Mwana Alakati Kipindi chote sio wa msimu kama wengine

Ata yule Askofu Mwamakula nayeye kanyooka na Chadema yake tangu kipindi cha rip JPM

Uyu sio Mdini kama Sheikh Ponda
Kama ni heshima wapewe wawili Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda
 
Mwandishi wa makala za siasa, Luqman Maloto, amesema Tanzania inahitaji wakosoaji, lakini pia inahitaji viongozi wastaafu wenye hadhi ya 'Statesman' ambao wanaweza kuwa washauri na wapatanishi katika nyakati za misukosuko ya kisiasa, akibainisha kuwa mkosoaji anayejenga uadui na uongozi uliopo madarakani hupoteza nafasi ya kuaminika kama mshauri wa Nchi.

Maloto amesema Jaji Joseph Warioba, ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu na Waziri Mkuu mstaafu, ana uzoefu mkubwa wa kiuongozi unaompa hadhi ya kuwa 'Statesman' na mshauri wa viongozi waliopo madarakani. Hata hivyo, amesema Warioba amejipambanua zaidi kama mkosoaji kuliko mshauri na mpatanishi, hali ambayo kwa maoni yake inaweza kupunguza uwezo wake wa kuaminika na pande zote katika kutafuta suluhu za changamoto zinazolikabili taifa.

Amesema mshauri hawezi kuwa mtu ambaye kila mara anaonekana akimshambulia hadharani mtu anayepaswa kumshauri, akieleza kuwa hali hiyo humfanya mshauriwa kumuona kama mpinzani badala ya mshauri, akitolea mfano kauli ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliyowahi kusema kwamba angeshangaa kama Warioba na wenzake wangempongeza, akisema kauli hiyo inaonesha namna mtu anavyoweza kutambulika katika nafasi ya mkosoaji na hivyo kupoteza nafasi ya kuonekana kama mshauri.

Maloto amehoji pia kwa nini Warioba hajawahi kujitokeza hadharani kupongeza hatua chanya za Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, akitolea mfano kukamilika na kuzinduliwa kwa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP), akibainisha kuwa kwa hadhi yake hakupaswa kuwa na upande bali anatakiwa kuwa sehemu ya suluhu, akitumia uzoefu wake kuunganisha pande zinazokinzana na kuhakikisha masilahi ya taifa yanawekwa mbele.

Akizungumzia matukio ya Oktoba 29, 2025, Maloto amesema Tanzania inahitaji watu wenye hadhi ya 'Statesman' kutumia ushawishi wao kuponya taifa na kuhamasisha mazungumzo na maridhiano, akimkosoa kwa kauli yake kwamba idadi ya vifo vilivyotokana na matukio hayo ilikuwa kubwa kuliko vifo vya Vita ya Kagera, taarifa ambazo ni za mtandaoni na si hesabu rasmi, hivyo hazikupaswa kutumiwa na mtu mwenye hadhi yake.

Kwa ujumla, Maloto amesema Warioba anapaswa kujiuliza kama kuendelea kuikosoa Serikali hadharani kutasaidia kumaliza mivutano ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa historia ya Tanzania inaonesha mazungumzo na maridhiano kuwa miongoni mwa njia zilizosaidia taifa kuvuka vipindi vigumu. Amesema lengo la Statesman linapaswa kuwa kuhakikisha Tanzania inashinda, badala ya upande mmoja wa kisiasa kushinda, na kwamba kwa kujipambanua kama mkosoaji, Warioba amepoteza kwa kiasi kikubwa hadhi ya kuonekana kama mshauri na mpatanishi wa RaisView attachment 3662350
Warioba ni shabiki wa Chadema hawezi kuwa mpatanishi
 
Huyu atakuwa anasaka uteuzi tu. Jaji Warioba alishawahi kuwashauri kwa kuwaandalia Rasimu ya Katiba Mpya hamkumsikiliza. Mkang'ang'ana na katiba yenu inayomfanya mtu kuwa mungu na matokeo yake ndo hayo ya tarehe 29.
 
Anayejua maana ya Maloto aweke hapa.
Nami natamani nisaidie ili nijue zaidi. Kuwa statesman unajichagua au unachaguliwa?
Warioba eti ni kama ana upande, kwani alivyokuwa anashauri hakuwa anaonekana?
Kikwete anasema kama Kuna warioba wangempenda angeshangaa, je hilo ndio lionyesha kuwa matatizo ni warioba au Kikwete. Kwani aliyeharibu rasimu ya warioba ni nani?
Ila kama maloto ni Islam, kuna namna waislamu huwa wanateteana hata kama jambo linaharibika na ndio sababu ya kumtaja Kikwete. Sipendi udini ila macho yangu yanaona udini upo.
 
Nyie ndio mmepoteza hadhi ya kuwa Sehemu mkopo basi tu mnatumia nguvu, huyo Warioba ndiye aliyepewa nafasi ya kuongoza tume ya katiba mpya tumeenda vizuri mkamgeuka mkamtumia akina Makonda wampige leo mnaongea mashudu haya huyo JK ambaye amewahi kuiongoza Tz miaka 10 na ndio raisi mstaafu aliyebak amefanya nini?

Hapo sasa, au.ana maanisha haya yanayotokea huyo JK haoni na hashauri?
 
Huyu atakuwa anasaka uteuzi tu. Jaji Warioba alishawahi kuwashauri kwa kuwaandalia Rasimu ya Katiba Mpya hamkumsikiliza. Mkang'ang'ana na katiba yenu inayomfanya mtu kuwa mungu na matokeo yake ndo hayo ya tarehe 29.

..Ccm hawamualiki Mzee Warioba.

..wakimualika atazungumza mapungufu ya upande wa pili.
 
Mwandishi wa makala za siasa, Luqman Maloto, amesema Tanzania inahitaji wakosoaji, lakini pia inahitaji viongozi wastaafu wenye hadhi ya 'Statesman' ambao wanaweza kuwa washauri na wapatanishi katika nyakati za misukosuko ya kisiasa, akibainisha kuwa mkosoaji anayejenga uadui na uongozi uliopo madarakani hupoteza nafasi ya kuaminika kama mshauri wa Nchi.

Maloto amesema Jaji Joseph Warioba, ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu na Waziri Mkuu mstaafu, ana uzoefu mkubwa wa kiuongozi unaompa hadhi ya kuwa 'Statesman' na mshauri wa viongozi waliopo madarakani. Hata hivyo, amesema Warioba amejipambanua zaidi kama mkosoaji kuliko mshauri na mpatanishi, hali ambayo kwa maoni yake inaweza kupunguza uwezo wake wa kuaminika na pande zote katika kutafuta suluhu za changamoto zinazolikabili taifa.

Amesema mshauri hawezi kuwa mtu ambaye kila mara anaonekana akimshambulia hadharani mtu anayepaswa kumshauri, akieleza kuwa hali hiyo humfanya mshauriwa kumuona kama mpinzani badala ya mshauri, akitolea mfano kauli ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliyowahi kusema kwamba angeshangaa kama Warioba na wenzake wangempongeza, akisema kauli hiyo inaonesha namna mtu anavyoweza kutambulika katika nafasi ya mkosoaji na hivyo kupoteza nafasi ya kuonekana kama mshauri.

Maloto amehoji pia kwa nini Warioba hajawahi kujitokeza hadharani kupongeza hatua chanya za Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, akitolea mfano kukamilika na kuzinduliwa kwa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP), akibainisha kuwa kwa hadhi yake hakupaswa kuwa na upande bali anatakiwa kuwa sehemu ya suluhu, akitumia uzoefu wake kuunganisha pande zinazokinzana na kuhakikisha masilahi ya taifa yanawekwa mbele.

Akizungumzia matukio ya Oktoba 29, 2025, Maloto amesema Tanzania inahitaji watu wenye hadhi ya 'Statesman' kutumia ushawishi wao kuponya taifa na kuhamasisha mazungumzo na maridhiano, akimkosoa kwa kauli yake kwamba idadi ya vifo vilivyotokana na matukio hayo ilikuwa kubwa kuliko vifo vya Vita ya Kagera, taarifa ambazo ni za mtandaoni na si hesabu rasmi, hivyo hazikupaswa kutumiwa na mtu mwenye hadhi yake.

Kwa ujumla, Maloto amesema Warioba anapaswa kujiuliza kama kuendelea kuikosoa Serikali hadharani kutasaidia kumaliza mivutano ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa historia ya Tanzania inaonesha mazungumzo na maridhiano kuwa miongoni mwa njia zilizosaidia taifa kuvuka vipindi vigumu. Amesema lengo la Statesman linapaswa kuwa kuhakikisha Tanzania inashinda, badala ya upande mmoja wa kisiasa kushinda, na kwamba kwa kujipambanua kama mkosoaji, Warioba amepoteza kwa kiasi kikubwa hadhi ya kuonekana kama mshauri na mpatanishi wa RaisView attachment 3662350
Kigoma ya MACHAWA.
 
Huyo Mwehu Maloto alitaka Warioba ashauri mara ngapi?

Kama ushauri haupokelewi alitaka Warioba afanye Nini?

Huyo Maloto au Matonya hajui kwamba kwa Sasa Ushauri wowote unachukuliwa kama Ukosoaji?

Lissu kasema kina Maloto wakishahongwa waache kumfuata Gerezani Usiku
 
Siku nikipata nafasi kukutana na Mzee wetu Mh.Warioba nitamuuliza ili swali.Ilikuaje CCM wakati wa Mwalimu Nyerere na Mwinyi mkapitisha Katiba ambayo kiukweli aikua na malengo mazuri kwa taifa na wanachi asa nguvu na mamlaka ya Rais? Ni ilo tu
 
Back
Top Bottom