Maloto: Tanzania inahitaji 'Statesmen', si wakosoaji kama Warioba

Kumbe posho ya kumnanga Warioba imeshaingia ndio maana naona matakataka mengi sana humu leo.
 
Huyu ni nani apunguze kujipa umuhimu sana kwenye maisha ya watu
 
Wapo kimya dhidi ya utekaji unaoendelea? Je anachoongea warioba ni kweli?

Utekaji umeanza lini mbona kitambo tu lkn wamekuwa kimyaa

Kumbukumbu zako uyu Warioba anazingua kukiwa na Rais muislamu zaidi ndiyo

ilipelekea Paul Makonda kutaka kumzonga zonga kidogo uyu Mzee
Kama kameweuka kidogo 😥😥

Mzozo ule na Makonda Rais alikuwa Jakaya Mrisho Kikwete

Kipindi cha rip JPM Warioba kimyaaaaaaa na yule Betina mweupee kimyaaaa

Alakati zao za kinafki

Ndiomana tunaweza kusema Sheikh Ponda yeye ni Mwana Alakati Kipindi chote sio wa msimu kama wengine

Ata yule Askofu Mwamakula nayeye kanyooka na Chadema yake tangu kipindi cha rip JPM

Uyu sio Mdini kama Sheikh Ponda
Kama ni heshima wapewe wawili Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda
 
Warioba ni shabiki wa Chadema hawezi kuwa mpatanishi
 
Huyu atakuwa anasaka uteuzi tu. Jaji Warioba alishawahi kuwashauri kwa kuwaandalia Rasimu ya Katiba Mpya hamkumsikiliza. Mkang'ang'ana na katiba yenu inayomfanya mtu kuwa mungu na matokeo yake ndo hayo ya tarehe 29.
 
Anayejua maana ya Maloto aweke hapa.
Nami natamani nisaidie ili nijue zaidi. Kuwa statesman unajichagua au unachaguliwa?
Warioba eti ni kama ana upande, kwani alivyokuwa anashauri hakuwa anaonekana?
Kikwete anasema kama Kuna warioba wangempenda angeshangaa, je hilo ndio lionyesha kuwa matatizo ni warioba au Kikwete. Kwani aliyeharibu rasimu ya warioba ni nani?
Ila kama maloto ni Islam, kuna namna waislamu huwa wanateteana hata kama jambo linaharibika na ndio sababu ya kumtaja Kikwete. Sipendi udini ila macho yangu yanaona udini upo.
 

Hapo sasa, au.ana maanisha haya yanayotokea huyo JK haoni na hashauri?
 
Huyu atakuwa anasaka uteuzi tu. Jaji Warioba alishawahi kuwashauri kwa kuwaandalia Rasimu ya Katiba Mpya hamkumsikiliza. Mkang'ang'ana na katiba yenu inayomfanya mtu kuwa mungu na matokeo yake ndo hayo ya tarehe 29.

..Ccm hawamualiki Mzee Warioba.

..wakimualika atazungumza mapungufu ya upande wa pili.
 
Kigoma ya MACHAWA.
 
Huyo Mwehu Maloto alitaka Warioba ashauri mara ngapi?

Kama ushauri haupokelewi alitaka Warioba afanye Nini?

Huyo Maloto au Matonya hajui kwamba kwa Sasa Ushauri wowote unachukuliwa kama Ukosoaji?

Lissu kasema kina Maloto wakishahongwa waache kumfuata Gerezani Usiku
 
Siku nikipata nafasi kukutana na Mzee wetu Mh.Warioba nitamuuliza ili swali.Ilikuaje CCM wakati wa Mwalimu Nyerere na Mwinyi mkapitisha Katiba ambayo kiukweli aikua na malengo mazuri kwa taifa na wanachi asa nguvu na mamlaka ya Rais? Ni ilo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…